Kampuni za RATCO na SATCO ni za familia gani??

Kampuni za RATCO na SATCO ni za familia gani??

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
543
Reaction score
652
Wanajamvi hivi hizi kampuni ni za familia gani maana naambiwa na baadhi ya matrafic kwamba zikivunja sheria hazipigwi faini na wala hazilipi kodi pindi zinapoingiza magari yao hazilipii kodi ya aina yoyote ...Kwamba ukijaribu kuzighasi basi papo hapo utapokea simu ya mkubwa wako akikupa maagizo ya kuziachia naomba kuwasilisha wadau.
 
Back
Top Bottom