TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,059
- 22,229
Naombeni majawabu
Fact 👍Makanisa ye kiroho yanafuata masikini, maana wao ndo hutegemea miujiza ya pesa badala ya kufanya kazi
Haha haha ulokole ni jangaMakanisa ye kiroho yanafuata masikini, maana wao ndo hutegemea miujiza ya pesa badala ya kufanya kazi
Mungu ni trillionaire in USD hivyo hilo jambo ni dogo sana kwake.Wanahela hata ya kununua kiwanja? Tuanzie hapo!
Kwanini Mungu hawapi hela ya kujengea Jengo la kumuabudu yeye??Makanisa mengi yanayo jiita ya kiroho hata hela ya kujenga jengo zuri kwa ajili ya ibada zao hawana.
Wanaishia kufunga maturubai na kuweka mabenchi, mdogo mdogo wanaanza kukusanya sadaka.
Kisha mwishoni akasema, usimuibie Mungu toa ulichonacho (utoe kwa trillionaire)Mungu ni trillionaire in USD hivyo hilo jambo ni dogo sana kwake.
Alisikika mchumia tumbo Mwamposa.
Huku hatutaki ujinga: mafuta ya upako, sijui maji au chumvi ya uzima ni huko huko kwa wajinga wenzenu.Naombeni majawabu
Ndio hapo sasaKisha mwishoni akasema, usimuibie Mungu toa ulichonacho (utoe kwa trillionaire)
Wakianza kuomba na kunena kwa lugha, mtu anakoroma utasema pikipiki, kwa kweli ni kero sana..Kinachonikera hayo makanisa ni magitaa na vinanda kupigwa jumatatu hadi jumapili muda wowote..... Sijui hata kazi wanafanya saa ngapi.
Hayo makanisa yawe pembeni mwa miji waumini wayafate huko
Olalalala shika rabaaa shika rabaaMakanisa ya kiroho ndo makanisa gani wakuu!
Ya kilokole nadhani..Makanisa ya kiroho ndo makanisa gani wakuu!