Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kufuatia wananchi wa kitongoji cha Bogini juu Halmashauri ya wilaya ya Moshi kufunga Barabara ya Mabogini-Kahe kwa madai ya mitaro yake kusababisha mafuriko kwenye makazi yao, Mkuu wa wilaya ya...
0 Reactions
3 Replies
341 Views
Katika kipindi cha enzi za kati (Medieval), “mikanda ya usafi wa mwili” (chastity belts) mara nyingi huchukuliwa kuwa njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake. Hata hivyo, baadhi ya wanahistoria...
4 Reactions
9 Replies
508 Views
Hellow! Sir tuliooa huwa tunashangazwa sana wakati mwingine na tabia za wenzie wetu wenye kazi, Yaani unakuta ana kipato kukuzidi lakini lazima asubuhi akuombe nauli, Mimi binafsi naelewa hii ni...
2 Reactions
7 Replies
412 Views
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa...
1 Reactions
3 Replies
446 Views
Anonymous
Kwanini barabara nyingi za Arusha zimejaa mashimo makubwa mpaka yanasababisha ajali kwa baadhi ya madereva wa pikipiki na abiria wao?
0 Reactions
4 Replies
367 Views
MAKAGA ( Making Kayumba Schools Great Again ) Campaign ni kampeni maalumu ya kitaifa iliyo lenga kuwafungua ufahamu wazazi wenye vipato vya chini wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa hapo wadau wa JF. Kwa maana nimeona baadhi ya taasisi watu hawaingii kazini siku ya ijumaa kuu. Lakini kuna baadhi ya kampuni watu wanaingia kazini kama kawaida na hawalipwi...
0 Reactions
9 Replies
687 Views
Nazani Kuna watu toka wanunue simu hawajawahi kuizima hata mara moja ikitokea imezima basi chaji imeisha kabisa. Mfumo wa uendeshaji wa simu Google operating system wa android toka Google, sasa...
2 Reactions
6 Replies
542 Views
Herufi "INRI" ni ufupisho wa maneno ya Kilatini "Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum," ambayo tafsiri yake ni "Yesu Mnazareti, Mfalme wa Wayahudi." Kulingana na Injili ya Yohana (19:19-20), maandishi...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Tarehe 17 Aprili 2025: Katika kuimarisha ubunifu na ujasiriamali miongoni mwa vijana nchini, Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation na Tume ya Taifa ya Sayansi...
2 Reactions
7 Replies
446 Views
Ndugu zangu wa thamani, Tunapoelekea sherehe za Pasaka ,tunapoadhimisha kifo na ufufuko wa Yesu Kristo ,binafsi napenda kuwaachia maneno haya kwa tafakari na tathimini ya maisha kibinafsi kwa...
8 Reactions
13 Replies
777 Views
Nilipishana na msafara wa magari yaliyowashwa taa na double hazard huku kukiwa na lundo la askari wa KM wakiwa na silaha za kivita. Je ndio Lissu alikuwa anahamishiwa Gereza la Ukonga?
4 Reactions
9 Replies
697 Views
Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar. 'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Inaonekana DAWASA hawana wataalam wa hizi kazi WATER LABORATORY TECHNICIANS hawana viwango na utaalamu wa kufanya hii kazi ya kusafisha na kutibu maji katika mitambo yao Mheshimiwa waziri wa maji...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo...
4 Reactions
2 Replies
609 Views
Watoto wakike hasa wakisha pevuka wanaishi katika changamoto nyingi sana maana wanakumbana na Vista wishing vingi sana,changamoto hizi huongezeka pale inapotokea mtoto wa kike hapati attention...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa onyo kwa raia watakaokusanyika kwenda Kisutu kushuhudia kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, ni wazi kuwa tukio hili lina mvuto...
4 Reactions
10 Replies
545 Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzembe hautakiwi, haukubaliki na huleta hasara, majuto, usumbufu na kutishia amani Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
0 Reactions
1 Replies
148 Views
RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi...
0 Reactions
5 Replies
799 Views
Hakuna mtu atakayekutendea sahihi ikiwa hujithamini wewe mwenyewe. Ikiwa unataka heshima kwa wengine wakuzungukao, basi udumishe picha nzuri ya wewe mwenyewe machoni pako na rohoni mwako jinsi...
2 Reactions
2 Replies
211 Views
Back
Top Bottom