Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha
Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na...
Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu
Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua...
Njaa ninayoizungumzia hapa ni Tamaa, sio Njaa ya chakula.... Njaa ndio inawafanya hao unaowaita marafiki zako wawe wanafiki kwako, njaa ndio inaowafanya hao uwapendao wakusaliti na matatizo yako...
Mandhari ya kidini Nchini Tanzania inatawaliwa na Ukristo (takriban 55-63% ya idadi ya watu) na Uislamu (31-34%), huku vikundi vidogo vikifuata Dini za jadi za Kiafrika (1-11%), na dini nyingine...
Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati...
SALAMU ZA POLE KUFUATIA KIFO CHA BABA MTAKATIFU PAPA FRANCIS
Kwa heshima kuu na huzuni isiyo kifani, napenda kutoa salamu zangu za pole kwa Kanisa Katoliki Tanzania, Baraza la Maaskofu Katoliki...
Yes, huu utaratibu wa jeshi la polisi kutofuata taratibu za ukamataji na kwamba wao wako juu ya katiba na sheria za nchi utaisha kwa mwisho mbaya sana.
Naona watu badala ya kuogopa na kuwa wapole...
watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na...
Tangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko.
Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza...
Prof. Mkumbo
Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la...
Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar
Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury...
Ukweli ni kitu cha ajabu sana. Ni kama jua kali linalozalisha jasho kali hata kwa mtu aliyekuwa akijificha kwenye kivuli. Ni kama kioo kilichowekwa mbele ya mtu, kikimwonyesha sura yake...
Havi bodi ya mikopo human wanawakopesha wazazi au watoto. Kwa maoni yangu wazazi ndio wanakopeshwa maana ni wao walitakiwa kuwagharimia watoto wao.
Niishauri serikali itafuta namna ya kuwadai...
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.
Nafika home saa 3...
Aliyewahi kuwa mpiga ramli maarufu daslam, Dr manyanyau amechezea kichapo toka kwa mganga mwenzake ajulikane kwa jina la Dr Taz, hii ni baada ya vigagula hao wawili kukutana uso kwa uso katika...
Wakazi 6,000 wa kijiji cha Ulaya Kibaoni Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji safi na salama baada ya kukamilika...
Kama unatafuta vitabu vya kujifunza siri za utajiri, kujenga mali, na mafanikio ya kifedha, hapa kuna baadhi ya vitabu maarufu na vya thamani vinavyoshughulikia mada hii:
### 1. Vitabu vya...
Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za...
Hili la kutaka kufungia namba za utambulisho wazee mnazingua, wananchi hawajagoma kuchukua vitambulisho vyao.
***
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA leo imetangaza kuwa itasitisha matumizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.