NAMDORY
Member
- Feb 21, 2017
- 35
- 23
Inaonekana DAWASA hawana wataalam wa hizi kazi WATER LABORATORY TECHNICIANS hawana viwango na utaalamu wa kufanya hii kazi ya kusafisha na kutibu maji katika mitambo yao
Mheshimiwa waziri wa maji lianglie hili haya ndio matokeo ya ajira za kipeana matokeo yake wanahat1risha afya za wananchi
Mheshimiwa waziri wa maji lianglie hili haya ndio matokeo ya ajira za kipeana matokeo yake wanahat1risha afya za wananchi