Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kulingana na uzoefu wao wa kukusanya mapato na rushwa hawa jamaa wahamishiwe TRA ili kuongeza ufanisi
3 Reactions
15 Replies
858 Views
Ushawahi kuona mtu Ana skendo chafu chafu haswa za umalaya uliopitiliza au ulevi na ukorofi lakini ukashangaa anaitwa kuketi katika karamu ya wakubwa na anashirikishwa michongo.? Kuna watu...
3 Reactions
12 Replies
648 Views
Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu. Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa...
2 Reactions
10 Replies
631 Views
Kila siku huwa naangalia jinsi navyojitoa na kuwekeza kwa watoto wangu, mapambano ni makali sana ila huwa najiuliza, nikizeeka halafu wao wanisahau itakuwa sahihi kujisikia vibaya ? Kuwalisha...
3 Reactions
16 Replies
691 Views
Serikali kupitia wizara ya nishati miaka 5 iliyopita ilijenga ofisi za Tanesco kupitia mfuko maalum Kwa kigezo kwamba kuna upotevu mwingi wa fedha katika kupangisha ofisi ya Tanesco kutoka...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Hasahasa mafundi nyumba na furniture yaani hawa katika historia zao lazima tu wamepelekwa polisi sana wamekula hela ya kutengeneza kitanda au advance halafu wanaleta sound.. Ila hao mafundi...
3 Reactions
8 Replies
501 Views
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Ripoti hii inaonesha ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa...
1 Reactions
2 Replies
616 Views
Wakuu kuna zile siku za sikukuu huwa tunaona maonyesho ya Wanajeshi kuvunja tofali kwa mikono au kichwa mmeshawakumbuka eeh? Ule uwezo kuna mtu anaweza kunipa dondoo unapatikana vipi inachukua...
4 Reactions
15 Replies
968 Views
Katika tabia siipendi tuliyo nayo watanzania ni hii ya kuficha ficha mambo ambayo hata siyo ya kuficha Mfano kwenye kazi ambazo zinafanywa na team...kazi mnaanza vizuri mnafanya vizuri linapokuja...
9 Reactions
8 Replies
543 Views
zama za usiombe kukutwa na bwana pepsi tumezimiss..siku hizi hata bia hazikai mwezi kiwandani means watu tunakunywa sana sasa kweli mnashindwa kubuni namna ya kurudisha faida kwa jamii kwa...
3 Reactions
4 Replies
407 Views
Kwa mfano vita za waasi na majeshi ya serikali, Vita za taifa na taifa Israel na Hamas. Nazungumzia haswa pale kwenye frontline pale battle field penyewe je vita huwa live masaa 24 hakuna...
4 Reactions
18 Replies
918 Views
Katika jamii, ni jambo lisiloepukika kukutana na watu wanaotukana au kusema maneno ya kuumiza. Hali kama hii hutufikisha kwenye options mbili: kulipiza au kujibu kwa hekima bila matusi. Biblia...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai...
1 Reactions
7 Replies
489 Views
Kuna wengine kazi zetu zinanoga pale tunapoenda kufanya activities huko site baada ya ku explore data au ku visit site basi tukirudi ofisini hakuna cha maana desk work ni moja tu computation na...
2 Reactions
21 Replies
737 Views
Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile...
1 Reactions
4 Replies
395 Views
Kwenye mpira kuna matokeo matatu kushinda kushindwa na kutoa sare.cha ajabu yangs sikumbuki mara ya mwisho imefungwa lini tokea mwaka huu uanze nahisi kama imefungwa mara mbili tu au tatu..mwenye...
2 Reactions
11 Replies
597 Views
Kwa sasa nchi yetu au tuseme dunia kifo kipo nje nje ni suala la kumtegemea tu Mungu wako ila yako mambo ya kuzingatia. 1. Achana kabisa na wake au waume za watu.hata wanawake wamekuwa wakatili...
7 Reactions
9 Replies
580 Views
Wafanyakazi wengi hutaka maisha yao yafanane na ya waajiri wao baada ya kuanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi. Waajiri kutaka maisha ya wafanyakazi wao kubakia yalivyo miaka na miaka. Hasa...
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Huku lindi kuna shughuli za rusha roho mataraabu au unyago mtoto anachezwa yaani kama kipindi hiki ndo zimefululiza kila siku na hasa weekend unakuta mtaani maspika yanapiga tu visengeli...
3 Reactions
8 Replies
446 Views
kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi. Tukija kwenye uhalisia assume...
1 Reactions
12 Replies
502 Views
Back
Top Bottom