Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hayawi hayawi sasa yamekua ilikuwa usiku,sasa imekua mchana,ilikuwa jana sasa imekuwa leo ,CCM muda wake umewadia wa kusambaratika vipande vipande kupitia viashiria vifuatavyo: 1. Migogoro ya...
2 Reactions
4 Replies
553 Views
https://youtu.be/QnKI3wLXcaY?si=BjAtS93gaNwhr3jA โžกMtu aweza kujiuliza kuna tatizo gani ktk kauli au maneno haya yanayozungumzwa hapa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu. Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa...
55 Reactions
482 Replies
20K Views
Madawa ya kulevya ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokumba jamii nyingi duniani. Mara nyingi, tunaposikia mtu amefariki kutokana na overdose, hatufahamu kabisa kinachotokea ndani ya mwili...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
4 Reactions
6 Replies
485 Views
Hapa mlipofika ni pabaya. Mmeanzisha vita na Vatican, kanisa na wakatoliki na madhehebu ya kikristu na waislamu wenye napenzi mema na nchi
5 Reactions
15 Replies
933 Views
Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1...
18 Reactions
65 Replies
3K Views
1. Kanisa litafakari kwa kina na kuchukua hatua kali zaidi dhidi udhalimu. Hapa tatizo si kushambuliwa kwa Fr. Kitima na wengineo bali UDHALIMU ulioota na unaoendelea kuota mizizi kwa kasi zaidi...
14 Reactions
64 Replies
4K Views
Wakati PM akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za Mei Mosi ametambua uwepo wa "mkurugenzi wa Kima Cha Chini Cha Mishahara". Nchi Ina vyeo vya hovyo hii! Yaani huyu...
2 Reactions
9 Replies
672 Views
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT? Hiyo huwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali. Hii...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee...
2 Reactions
0 Replies
280 Views
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nimecheka kama Mazuri. My Take Hizi dini zenu ukiacha utapeli ni vichaka vya kufichia ulozi ---- Mwili wa Mchungaji Golden Ngumbuke (66) wa kanisa la Pentecoast Evangelical Fellowship...
0 Reactions
10 Replies
857 Views
Tuseme unataka mkopo wa milioni 30 kwa muda wa miaka mitatu na benki ina rate ya 18%. Je kutokana na mahesabu yetu ya benki za Tanzania nitapswa kurudisha kiasi gani jumla baada ya miaka mitatu...
1 Reactions
7 Replies
538 Views
MAHITAJI YA UMEME YAMEONGEZEKA Mahitaji ya juu ya umeme katika Gridi ya Taifa nchini yameendelea kuongezeka na kufikia Megawatt (MW) 1,921.44 zilizofikiwa tarehe 09 Aprili, 2025 saa 3:00 usiku...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena Nikafikiri sherehe ni...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni wimbo tunaoimbiwa kila siku kuwa usalama wa raia na mali zao ni jukumu la polisi. Kuhusu hili lina ukweli kiasi gani, hasa katika mazingira yetu ya sasa, huo ni mjadala mwingine. Leo...
3 Reactions
5 Replies
330 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ