Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,369
- 1,641
Mkoa wa Kigoma ni moja wa mikoa ilioko nchini Tanzania na ni mkoa pekee mwenye kubeba jina la tanzania hii,.mkoa huu ni mkoa uliobarikiwa vipaji mbali mbali na ndio mkoa pekee unaoitambulisha Tanzania kwenye uso wa dunia kutoka na watu waliotoka katika MKOA huu kutangaza na kupeperusha bendera ya nchi yao katika mataifa mbali mbali
Unapouzungumzia mkoa wa kigoma bila shaka unamzungumzia,miss tanzania mwaka wa 2000,unazungumzia chege,ommy dimpoz,alikiba,diamond,.vile vile wapo wakina mwasiti,queen darling,
Kama nilivyokuambia ni mkoa wa vipaji na uliofanyikiwa kuitangaza Tanzania kutokana na wacheza mashuhura kama vile ngassa,kaseja.
Vile vile una wanasiasa mashuhuru,wakina kafurira,nzito kabwe na wengine.
Kwenye mkoa huu ndiko kuna patikana ziwa tanganyika,ziwa ndefu kabisa barani africa.ziwa hilo kuna meli kubwa zaidi nchi tanzania,meli MV mwongozi na MV lwemba
Mkoa huu kuna shughuli mbali mbali za kimaendeleo zinafanyika katika mkoa huu, kama kuhuza vitenge,mashuka,uvuvi,chumvi,mawese,sabuni za kigoma na kilimo.
AJABU n kwamba,mkoa huu ni mkoa wa mwisho kimaendeleo ndio mkoa pekee ninaoujua mimi bado kuna bara bara ya vumbi kuanzia KASULU hadi NYAKANAZI.
Ni mkoa ambao raia wake ni masikini kuliko mikoa mingine.
Wilaya ya kibondo na kakonko raia wake hawajawahi kuiona lami.
Mpaka leo uwa najiuliza nani wa kulaumiwa serekali au raia wa mkoa huu
NB:ningeomba serekali ya tanzania ijaribu kuliangalia hili kwa jicho la tatu maana wana mkoa wanajituma katika kazi ya kujenga kuitangaza taifa lakini kwao maendeleo hakuna.
Asante