Waziri wa Ardhi nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Napende kukutumia ujumbe wa utapeli au uporaji wa ardhi kwa wananchi wa Mbopo wilaya ya kinondoni na watu wanaojiita DDC...
Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya...
Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya.
Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka...
Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo.
Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa...
Leo kila staa anamlaumu said said kias kwamba aliwakera kweli na kutama jana kukimbia ktk ukumbi wa masaki dom..
Ni hivi nilimsikia Said Said kwa kupita radio tbc taifa akichekesha na...
Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu...
KOSA WANALOFANYA WATU WENGI NI KUITUPA FIMBO ILIYOWASAIDIA WALIPOKUWA VIPOFU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Unakuta kijana kasoma kimazabe kutokea shule za kayumba, mwalimu mmoja, hakuna...
Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA.
Fanya yoooote na wanawake wa...
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.
Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu...
Angalia hali hii ilivyo mbaya kabisa. Barabara zimejaa mashimo, matope na maji kila kona, hakuna dalili yoyote ya matengenezo. Wananchi na watumiaji wa barabara hii tunateseka kila siku, hasa...
Mitaa mingi ya huku kwetu Pemba kuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya gari la kunyonya maji taka (kinyesi) hali ambayo kiafya sio nzuri na inaweza kuchangia kuibuka kwa magonjwa ya...
Nilizaliwa, nikakua mtaa. Nikapigwa jua nikiwa mdogo nikihangaika na school kama soldier kwenye mission ya kutafuta life bora. Nilisoma shule ya msingi hadi sekondari kwa tabu, vumbi na njaa...
WanaJF salam!
Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa...
Ndugu hii dunia ina mambo ya ajabu unaweza yakakukuta usijue yalianza vipi mpaka yakafika hapo yalipo. Mimi ni mtumishi wa serikali yaani kifupi ni Mwalimu Idara ya Sekondari, sasa kulingana na...
Yametoka usiku huu. Mwenye nayo atuwekee hapa tafadhali
Mitihani ya Law Shool imekuwa changamoto kubwa sana kwa vijana wetu. Wanafeli kama vile hawajawahi soma sheria.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesisitiza kuwa ni dhamira ya serikali ya awamu ya sita katika kuwawezesha, kuwazingatia na kutoa kipaumbele kwa makandarasi wazawa kama ambavyo wabunge wameshauri...
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya...