Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Ya Wakatoliki tumeshajua na yapo wazi kabisa Kila mwenye macho na masikio anashuhudia Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa. Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa...
4 Reactions
9 Replies
866 Views
Fr Nkwera alianza kupata maono akiwa Chuo Kikuu Dar, alianzisha huduma ya maombezi. Aliomba kwa Yesu Kristo kupitia kwa mama Bikira Maria. Wagonjwa walipona na vichaa walirudi katika hali zao...
14 Reactions
116 Replies
32K Views
Mtaro wa Meli wa Stad, ambao kwa sasa unajengwa kwenye Rasi ya Stad magharibi mwa Norway, unakaribia kuwa mtaro wa kwanza kamili wa meli dunianiโ€”utendaji mkuu wa uhandisi wa kisasa. Mtaro huu...
2 Reactions
10 Replies
909 Views
Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu! ========== Your Gas Stove Might Be...
1 Reactions
6 Replies
591 Views
Habari za wikendi wakuu. Hivi karibuni nimehama mtaa niliokuwa nakaa, sasa kule nilikohama kuna kinyozi wangu mmoja ni fundi sana, nikifika nakaa tu sijielezi chochote, halafu ananipatia kweli...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Elon Musk tajiri namba moja duniani na boss wa Tesla huwapa masharti wanawake ambao anawabebesha mimba. Sharti la Kwanza kutotangaza mimba. Na kujifungua kwa njia ya opereshen C-section. Na kama...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama...
1 Reactions
9 Replies
614 Views
Wakuu, Kijana mdogo unakuta hana kazi yeyote, kwanza shule ameishia njiani, anarandaranda mtaani, stori za matajiri zote anazo, mpira, wanawake zote anazo ila ukimwambia kuhusu shughuli gani...
17 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua...
1 Reactions
12 Replies
883 Views
Habari wanajukwaa! Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu. Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara...
8 Reactions
201 Replies
8K Views
Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
2 Reactions
2 Replies
333 Views
Habari wanajf! Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja. 2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili...
1 Reactions
3 Replies
492 Views
Wakuu habari na poleni na Kazi na pia hongereni na Kazi. Kuna kesi nyingi zinazohusu ubakaji kwa wanafunzi na watoto wadogo . Naomba niwafungue AKILI vijana kwa kutoa ushuhuda wa kesi zifuatazo...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—•๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฎ China inataka kuifanya Dunia kama yao pekee yao aiseeh!!! kwa kweli hii tunaita game - changer, china...
0 Reactions
10 Replies
758 Views
Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8...
13 Reactions
96 Replies
7K Views
Naweza kujua majukumu ya mkuu wa shirika kwenye jimbo? Mfano mkuu wa shirika la Waagustino ndani ya jimbo B. Na mahusiano au muingiliano wake na askofu wa jimbo hilo B. Mkuu wa Shirika...
1 Reactions
8 Replies
512 Views
Kwa wale ambao hatukuogopa umande unamkumba Bwana Carl Marx? Yaani leo nimemkumbuka huyu jama alikuwa geneous. Makundi yenyewe matano na mifano hai ni kama ifuatavyo: 1. Lumpenproletariat Hili...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ