Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko...
Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni...
Asubuhi wife katoka kituo cha afya cha karibu hapa home kumwona mgonjwa ambaye ameanguka ghafla asubuhi hiyohiyo.
Sasa wakati namuuliza akanambia walikuwa watu wengi sana walioenda kumwona huyo...
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea...
Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari.
Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una...
Kuna viongozi na watu maarufu ambao ni ndugu ila kwasababu flani flani wameamua undugu wao kuuficha yaani usijulikane public. Mbinu moja wapo ya kuficha undugu ni kutumia majina tofauti hasa ubini...
Mwanafunzi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kilimanjaro (KICHAS), Erick Sawe(21) anadaiwa kujiua kwa kujinyonga chooni katika nyumba aliyokuwa amepanga eneo la Kiriwa chini, Kata ya Rau...
ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO
JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais...
Naona kama masuala ya uwanja huu yako restricted kwa free media tour. Nashauri Msigwa awaache waandishi wa habari wapite kila kona ikiwamo vyooni, vyumba vya kubadilishia nguo, VIP, waangalie...
Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho.
Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke...
"Binafsi ningeshauri hawa wanaohama CDM, wasitafute jukwaa lingine lolote lile lililopo kufanya siasa zao.
Kwa maana wasiingie chama kingine cha siasa kati ya vilivyopo!! Kwa sababu walishawahi...
Maelezo haya yalitolewa jana na Waziri wa Uchukuzi. Hakika Tanzania kwa sasa inapambana na nchi za ulaya
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
Mheshimiwa Spika, katika kipindi chakuanzia Julai...
Msanii kutokea Bien akifahamika kama Bien-Aimé Baraza kutokea kundi la Saut Sol pale nchini Kenya amefanya show katika moja ya Tamasha kubwa nchini Kenya na kuacha watu kinywa wazi huku Wakenya...
LESENI NA VIBALI VYA BIASHARA YA MAFUTA ZIMETOLEWA!
Serikali kupitia EWURA imeendelea kusimamia mkondo wa kati na chini wa Sekta Ndogo ya Mafuta ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika, usalama na...
Katika kufuatilia kwangu historia za watawala wa dunia hii sijawahi kukutana na kiongozi wa maana aliyewahi kuwa anazurura na bastola waziwazi kiunoni akawa na akili nzuri.
Viongozi wote...
Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia,
itoshe...
Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali...
Greenland ni kisiwa kikubwa zaidi duniani, ikiwa ni sehemu yenye mamlaka ndani ya Ufalme wa Denmark, ikiwa na wakazi wapatao 56,000. Greenland ina eneo la kilomita za mraba milioni 2.2, huku...
Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa
KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI...
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka.
Vijana machawa...