Sio kila anayekuuliza, anakujali—wengine wanakuscan

Sio kila anayekuuliza, anakujali—wengine wanakuscan

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
167
Reaction score
239
#Porojozabongo
"Sio kila anayekuuliza, anakujali—wengine wanakuscan."

"Unajua watu wa leo?" Anaongea Bw. Bongo huku macho yake yakivinjari usoni kwa Mgogo.
"Wana maswali mengi, lakini si ya kusaidia—ni ya kukuchunguza.

Anavuta pumzi,

"Eti una kazi?" akaigiza kwa sauti
"Una pesa?"
"Una mahusiano?" sasa akacheka. "Hili la mwisho si swali, ni uwanja wa mashindano."

Kisha akamtazama moja kwa moja. "Ukijibu vibaya, unakuwa kichekesho mtaani. Wataandika status juu yako.
Ukijibu vizuri, unakuwa chuki kwao. Wanajiuliza: kwa nini wewe na si wao?"

Akanyamaza. Maneno yale yalimuingia Mgogo Hapo akajua, kuna watu si marafiki, si maadui—ni skana za roho yako
 
Wananiulizaga
UMEOA ...najibu hapn ,anauliza Tena kwann ss ujaoa mpk ss ..najibu sijaoa mpk ss kwakuwa sisimamishi🤔..anakosa muendelezo wa swali lake..

UMEJENGA ...najibu hpn ,anauliza kwann .najibu siwezi Jenga njiani na hata nikijenga hyo nyumba namwachia nani na cna mtt 😄..

OFFICE NI YAKO,,hpn ofc c yangu nimeajiriwa na mkataba unakaribia kuisha nirudi kijijin😄,anauliza kijijin utapaweza ,najibu ntapaweza maana naenda kuishi mm na c ww😄
 
hiyo ndo dawa yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom