Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inafahamika kwamba papa Leo amewahi kuja Tanzania zaidi ya mara tano. Askofu Stephano Musomba anasema August 28 ya mwaka 2003 papa aliendesha gari walilokuwa wamepanda kwa maili 468 kutoka Songea...
10 Reactions
103 Replies
4K Views
Mtu mmoja ameeefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya BMW na Bus la abiria la ABC,ajali hiyo iliyotokea barabara ya Dodoma-Morogoro eneo la Makalavati kwa mujibu wa mashuhuda wanasema...
10 Reactions
79 Replies
6K Views
Aisee tukisema wazungu wanatuona nyani tukubari sio kupanic. Jf kama ili swala litaki kuzungumziwa sababu ni CCm na wana CCm wao waliopo hapa JF wanaweza kusema leo ni usiku wakati mchana...
2 Reactions
1 Replies
291 Views
Kama uliwahi kuambiwa duniani watu hufanana kwa sura tu basi huenda uliambiwa ukweli nusu, watu huweza kufafanua hata tabia, akili au fikra. Kwa miaka mingi hapo kabla hapa JF alikuwa mwamba...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Hatupaswi kuendelea kuita bara letu AFRICA na kuanza kuita jina lake halisi la ALKEBU-LAN, kama jinsi ma babu zetu walivyo kua wakiliita hapo awali, ALKEBU-LAN lenye maana ya "ASILI YA UHAI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kweli Kikwete alikusudia jamaa ake ashinde kile kiti cha uwakilishi wa WHO kanda ya Afrika angelianza kumshauri Samia juu ya mustakabali mwema wa hali ya kisiasa kwa kipindi hiki tunapoelekea...
1 Reactions
0 Replies
215 Views
ni osifi ya salon kuna TV hua natumia kukonect katika decoda ya DSTV, siku iyo Nilitoa,nikawa natumia waya wa AV. gafla sioni. dogo ndo hua anashinda mi nakua na harakati zingine Sasa huu waya...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo...
1 Reactions
37 Replies
1K Views
Nimepokea taarifa kutoka kwa Rev. Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa Bishop Moses Kulola kwamba, Askofu Kulola amefariki dunia muda mfupi uliopita. Nitaendelea kuwapa...
7 Reactions
256 Replies
73K Views
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan...
4 Reactions
10 Replies
952 Views
Rais Samia amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Kusiluka alikuwa Katibu Mkuu Ikulu.
6 Reactions
28 Replies
14K Views
Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi? Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Napenda kuwasalimia kwa heshima kubwa sana, hususan kwa wote waliopo humu Jamiiforums mnaotoa maarifa, msaada wa kiroho, na hekima kila siku kwa wenye changamoto mbalimbali...
3 Reactions
83 Replies
3K Views
Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu: 1. Ana IQ ndogo sana 2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu 3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu! Hizo ni sifa au kejeli?
2 Reactions
7 Replies
622 Views
Request posted.. Karibuni . Nataka niiweke hapa sebuleni kwangu.
17 Reactions
43 Replies
2K Views
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda, pamoja na viongozi wengine 11 wa Kiislam, wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa siku hivi karibuni kama siku tatu mtandao wa Yas unakabiliwa na changamoto ya kutuma ujumbe kutoka kwa wateja wao Jambo ambalo limekuwa tatizo kwani wateja wameshindw kuwasiliana kwa namana...
1 Reactions
7 Replies
457 Views
Kufuatia mbadiliko katika sheria ya utekelezaji wa haki za msingi za binadamu The Basic Rights and Duties Enforcement Act, Cap 3 RE 2019, yaliyofanyika mwezi machi mwaka huu, yamepelekea shauri la...
3 Reactions
9 Replies
742 Views
Kesi namba 17740 ya mwaka 2024 ya mauaji ya mtoto aliyekuwa na Ualbino Noela Asimwe Novath inayowakabili washitakiwa tisa akiwemo padri Elipidius Rwegoshora na wenzake imetajwa tena leo tarehe...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…