Wasifu wa Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi mpya

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
IMG_1729.jpg

IMG_1730.jpg

IMG_1731.jpg

Rais Samia amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Kusiluka alikuwa Katibu Mkuu Ikulu.
 
Hana CV kubwa kulinganisha na aliyeachia nafasi ama kwa nafasi yenyewe..

Anyways ana machapiaho mengi but sijajua thamani yake pengine yanaweza kuwa rubbish kama ya akina profesa Ossoro.
Uko sahiii kabisa CV yake ya kawaida sana, kama Academician Fulani tu
 
Hana CV kubwa kulinganisha na aliyeachia nafasi ama kwa nafasi yenyewe..

Anyways ana machapiaho mengi but sijajua thamani yake pengine yanaweza kuwa rubbish kama ya akina profesa Ossoro.
Jamaa alivyosema CV ndogo hajaeleweka. Watu wanafikiri CV kubwa ni number of degrees! Mtu anaweza kuwa na degree moja lakini njia alizopita hata uwe profesa na machapisho mangapi humfikii.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Wengi wetu CV hudhani ni academic certificates na transcripts kali kali...
 
Shida sio CV kali ama la! Tumu - assess huko "Land" alikokuwa ni nini alichokifanya huko chenye maana! Ni kipi!

Maana hizi nchi zetu, shida sio kuwa na wataalamu, shida ni productivity ya hao wataalamu.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom