Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Henoko hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa mtu wa Mungu, aliyenena na kuenenda kwa haki katika kizazi kilichozama kwenye giza la dhambi. Lakini kinachovutia zaidi si maisha yake duniani, bali safari...
3 Reactions
6 Replies
535 Views
Wakuu nimejaribu kuaccess website ya mahakama Kuu ya tanzania leo hii tarehe 19 may 2025 Saa 10:08 Asubuhi bila mafanikio Domain ya site hio ni www.judiciary.go.tz Nimefanya Ivo ili nione kama...
0 Reactions
2 Replies
379 Views
Wakuu salam, Bili za mwezi Februari zimetoka, jamani huku kwetu Mbezi Beach kila mtu anashangaa ubambikaji wa bili hizi. Yaani kwa kila mtu bili imeshoot kuliko kawaida wakati matumizi ni ya...
9 Reactions
68 Replies
3K Views
Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na...
2 Reactions
10 Replies
387 Views
Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
8 Reactions
192 Replies
5K Views
Ku Klux Klan (au KKK) ni kikundi cha chuki kilichoanzishwa Marekani mwaka 1865 baada ya Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe (Civil War). Klan iliundwa na watu wazungu wa Kusini mwa Marekani waliokuwa...
1 Reactions
4 Replies
513 Views
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo...
39 Reactions
542 Replies
19K Views
Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine...
17 Reactions
95 Replies
4K Views
JINSI YA KUEPUKA KUROGWA NA WACHAWI 1. hakikisha mwilini kwako haukai na vipokezi vya uchawi, hivi vipokezi ndio receiver ambazo yan mchawi akikutupia ulogwi wake uchawi unaingilia humo VIPOKEZI...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanawake ni jeshi kubwa limeloshindwa kumlinda mwanaume. Limekuwa jeshi la kulialia na kulaumu. Wengi wao wamekuwa makatibu wenezi wa kueneza lawama za wanaume zao! "All men are dogs" Yeremia...
2 Reactions
1 Replies
254 Views
Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye...
26 Reactions
155 Replies
5K Views
Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi. Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu...
3 Reactions
4 Replies
445 Views
Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana. Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele? Lini katika nchi hii...
14 Reactions
190 Replies
6K Views
Nimekuwa nikitafakari swali ambalo huenda wengi tunaliona la kawaida au la kisanii lakini lina uzito wa kisayansi na kijamii: nawezekana kweli virusi kufundishwa? Swali hili limenitokea baada ya...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Kwa baadhi ya ya tamaduni tai akitua juu ya paa lako... Watu watakusanyika na kuanza kutoa maelezo mbalimbali Wengine Watazomea na kupiga kelele, "Jamani eeh! Nuksi imetua!"😂 Wengine hata wataita...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au...
1 Reactions
4 Replies
393 Views
Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
💭 Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuweza kutia saini na shirika la anga za juu OTHE, kwa kujipanga kuweza kurusha satellite yake ya kwanza angani ili kusaidia katika mambo mbalimbali. 💭...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…