Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba.
Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti.
Tuweni wapole , muda utazungumza .
Mungu atuvushe salama kwenye hichi...
Imekuwa ni kawaida sasa nchini Tanzania kwa taasisi binafsi na za kiserikali kutangaza mashindano tofauti tofauti yakiambatana na zawadi watakazopewa washindi na mwishowe kuingia ‘mitini’ bila...
Mahakama ya Mkoa wa Tanga imemhukumu Said Yunusu maarufu kama Big Sela (20), kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti Mtoto mwenye umri wa miaka 11.
Akisoma hukumu hiyo...
Wadau, salaaam!
Moja kwa moja kwenye mawazo yangu.
Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, MH. TUNDU LISSU, toka siku ya kwanza mpaka leo hii kwenye hatua ya maswali ya kudodoswa...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi ambao ni Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam -...
Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure
Ukizingatia umri wake na Hali...
Habari wakuu
Hatimaye nimechagua kwenda kwa mzazi mwenzangu baada ya kutuma nauli 😁😁(Nlitakiwa kwenda tangu tar 23/nimetafuta sababu hadi imeishiwa zaidi ya kwenda) niliwaza kuila ila nikaona acha...
Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume.
Chanzo : NBS
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu...
Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland...
Wakuu
1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka. Utaelewa vizuri katika wakati sahihi.
2. Utasimamia kufutwa kwa sheria ya kutoshtakiwa isipokuwa kwa mkuu kwa maamuzi aliyofanya akiwa...
Ukiona mtu au kampuni inatoa fulsa yakupata pesa ujue wewe msaka fulsa ndio fulsa yenyewe ukienda uko UKIAMBIWA TOA KIANZIO ILI ........ ujue tayar apo stuka! Au ukiambiwa anza kwa kuwekeza...
VIJANA, THAMANI YAKO HAIPIMWI NA KIASI CHA PESA ULICHONACHO. USIKUBALI KUINGIZWA KINGI NA WANAWAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi leo wanaishi chini ya shinikizo kubwa ili...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika...
Wilayani Siha, Kata ya Endumeti Mkoani Kilimanjaro kuna rushwa kubwa na uhujumu uchumi katika Shamba la miti TFS West Kilimanjaro.
Katika msitu wa hifadhi, kuna shughuli za kilimo cha mazao kama...
Magical power!!!!
SEHEMU YA KWANZA
Leo Nataka Nizungumzie Juu ya Dawa Za Meno katika sehemu ya Kwanza na sehemu ya Pili Nitazungumzia Miswaki ya Plastiki !!!.
Ninashukuru Mimi Nimezaliwa katika...
Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula.
ukila haraka haraka bila kutafuna...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unapenda kuwajulisha kuwa, leo tarehe 26 Agosti 2026 Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu - Natal...
Ni lini sisi CHADEMA hatukuwalalamikia CCM kwenda kinyume na katiba toka enzi na enzi na Nchimbi akiwepo?
Wamepotezwa watu kibao, kina Saanane wamepotea ila Nchimbi ziiiiiii.
Upinzani umetekwa...