Andrew Nyerere aonekana kwenye kikao cha CHADEMA Arusha

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,404
15,988
Mtoto wa hayati baba wa taifa Andrew ameonekana kwenye kikao Cha chadema kilichoketi leo mitaa ya sanawari kwa ajili ya kuratibu maandamano

IMG_20240221_214549.jpg

Nitoe Rai tu nikweli huyu bwana Ni mkorofi na jeuri ila asitezwe na kunyanyaswa asikilizwe na asipuuzwe na mamlaka

Jamaaa ameona udhalimu wa serekali hi ameamua kujiunga chadema kupigania katiba mpya

Nimefarijika Sana kumuonaaa mtoto halali wa baba wa taifa nae akipigania mabadiliko

Kudos Andrew
 
Kudos Andrew View attachment 2911354

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
CDM nawatakia kheri tupu katika mipango ya kuikomboa nchi hii kutoka mikononi mwa CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom