Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭 Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
28 Reactions
156 Replies
5K Views
Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for...
2 Reactions
5 Replies
764 Views
Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu. Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo...
29 Reactions
79 Replies
3K Views
Huku ndio kuondoa amani Hakuna mkristo anayepinga Waislamu kujenga msikiti katika maeneo yao na tena wa (ga) wanatuchangisha.... Ila linapokuja suala la ujenzi wa jengo la kuabudia kwa Wakristo...
2 Reactions
7 Replies
563 Views
Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili...
8 Reactions
24 Replies
943 Views
Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo? Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya? ======== Isaya 23:15-18 [15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau mlipo kwa hii benki tusaidieni. Wikend hii mambo hayaendi. Naona kama huduma haziendi. Tusifelishane tafadhari.
2 Reactions
15 Replies
867 Views
Wakuu Kama title inavyo sema kopesha ushangazwe. Mimi nimeshangazwa wiki hii na wadaiwa wangu(kuonekana mbaya kudai changu). Naomba experience yenu nyinyi ambao tayari mlishawahi kukopesha na...
17 Reactions
83 Replies
3K Views
Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa...
14 Reactions
83 Replies
10K Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda huu alipo tumelazimika KUMPIGA PINGU !! Anatetemeka na kutoa jasho na kuomba apewe kidogo anajihisi kufa akiachiwa huru kituo cha kwanza ni kwa Pusha, kuna pusha tulishamkataza asimuuzie...
12 Reactions
68 Replies
3K Views
Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ? Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Nimesikitishwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa mkoani Kilimanjaro kutokana na operesheni ya kukata miti "haram" ya mirungi. Ekari zijatajwa zaidi ya 800 zilifyekwa kwa ajili ya kudhibiti...
5 Reactions
12 Replies
698 Views
Hizi ni mbinu zifuatazo ntakazotumia kuhakikisha tunakua na viwanda vya nguo Kuanzisha viwanda vya petrochemical vyenye capacity kubwa sana Kuanzisha viwanda vya spinning ambavyo vitakua...
7 Reactions
97 Replies
2K Views
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa...
4 Reactions
6 Replies
615 Views
Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema...
24 Reactions
196 Replies
24K Views
Katika mfumo wa maisha tunayoishi, imejengwa misingi kwamba, wengi wawe masikini na matajiri wachache. Kwa hivyo, kama upo kundi la umasikini, kutoka humo siyo kazi nyepesi, ni lazima uzijue...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi πŸ™ Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…