Waislamu kwanini mna ubaguzi?

Waislamu kwanini mna ubaguzi?

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,679
Reaction score
27,656
Huku ndio kuondoa amani

Hakuna mkristo anayepinga Waislamu kujenga msikiti katika maeneo yao na tena wa (ga) wanatuchangisha....

Ila linapokuja suala la ujenzi wa jengo la kuabudia kwa Wakristo kujengwa katika maeneo yenye waislamu wengi. Hupinga kwa nguvu zote ukiwemo fujo na ulozi. Sasa hiyo amani mnayotuhubiria kwamba Uislamu ni dini ya amani kwamba ni pambo la mwenyeziMungu ipo wapi?

Hivi kwa utaratibu kama huu bado mtaendelea kudai sisi Wakristo ni wabaguzi?

Sikilizeni hii nchi sio ya Waislamu wala Wakristo bali ni secular state na serikali imetoa uhuru wa kuabudu na kutangaza dini, hivyo hayo maandamano sampuli hii ni batili na mnapaswa kukamatwa kwa kupinga ibara ya 19 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kama mtu unawashwa na itikadi kali, hamia Afghanstan kuliko kujitesa kuzuia yasiyo zuilika, maana kanisa litajengwa tu hapo.

Na ukiwaangalia hao wanaoandamana utaona ni wale wenye njaa na dhiki, huwezi mkuta hapo mtu timamu mwenye mipango yake anarukaruka.

Tanzania sio theokrasia bali ni jamhuri ya kikatiba.
 
Huku ndio kuondoa amani

View attachment 3350854

Wacha kuzunguka sema unapatikana mtaa gani tulete masheikh wachinja mbuzi, nyie hamruhusiwi kuchinja 😅
 
Umeanza eee, sasa subiri kwenye idi ya kuchinza. Hiyo tutawabagua live live
 
Back
Top Bottom