Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike...
2 Reactions
3 Replies
379 Views
Mikono ya kwaheri, huzuni na majonzi vilitawala kutoka kwa waombelezaji katika makaburi ya kwa Kondo, Ununio jijini Dar ea Salaam walipousindikiza mwili wa marehemu Dkt. Mechris Mango, aliyekuwa...
0 Reactions
5 Replies
639 Views
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama. Hata utani au mifano hataki 1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Haya ni madaraja maarufu duniania Madaraja kumi marefu yote yako china (hayo tuyaache) Saudi arabia -Bahran Hongkong -Macau lake Pontchartrain causewa-USA-38km Zanzibar na Dar ni karibu mno...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Nahitaji kujua kama Tanganyika tuna Seed bank (kwa ajili ya kutunza mbegu za asili ya Tanzania) kwenye hii dunia iliyojaa GMO
0 Reactions
23 Replies
957 Views
Uwepo wa dini za kitapeli haswa vikundi vya wakristo vimepigwa marafuku haswa vile vinavyodanganya wazi wazi kama uwezo wa kufufua mfu baada ya kufariki. Ni muda muafaka kwa serikali kusimama...
2 Reactions
14 Replies
473 Views
JESHI la Polisi nchini limedai kumhoji mtu anayedaiwa kuwa Afisa Usalama wa Ikulu, Ramadhan Ighondu, anayetuhumiwa kuwa mhusika mkuu katika tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Immigration Act sect. 23(1-e)states clearly as follows; A prohibited immigrant means any person who ,If he seeks to enter Tanzania is or,if he has entered Tanzania was at the time of his entry is...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Credit: Pastor Jesse Matosha #SIO KILA MAMLAKA IMETOKA KWA MUNGU. ACHENI KUTAFSIRI WARUMI 13:1–7 NJE YA MUKTADHA! Watu wengi wamekuwa wakitumia Warumi 13:1–7 kama silaha ya kunyamazisha watu...
2 Reactions
9 Replies
742 Views
Elimu ya dini juu ya yesu/muhamad siyo akili yako Mwafrika bali akili yako ni kile unachobaki nacho baada ya kuondoa elimu ya dini juu ya yesu/muhamad kama ulivyolishwa na kukaririshwa na mzungu...
2 Reactions
12 Replies
550 Views
Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi. Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi. Njia ya kutumia...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwanasayansi wa Ufaransa Étienne-Émile Baulieu aliyetengeneza kidonge cha kutoa mimba amefariki akiwa na umri wa miaka 98. Mwanasayansi huyo alisaidia kutengeneza dawa ya kumeza ya RU-486, ambayo...
2 Reactions
1 Replies
408 Views
Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!! They never worthed kupanda...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Anonymous
MALALAMIKO KUHUSU UKAMATAJI WA WAFANYABIASHARA NA TOZO ZISIZOFUATA TARATIBU – MKATA, WILAYA YA HANDENI Mdau wa Maendeleo na Mwana Jamii: Napenda kuwasilisha kwa umma na mamlaka husika kilio...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika bwana, nanyi pia ni wazima tumejaliwa uhai siku hii pia tumeiona, Ndugu zangu baada ya kusema hayo tu niseme nipo katika changamoto Moja Sina...
1 Reactions
5 Replies
449 Views
Hii filamu inazidi kuwa tamu😁😁
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari zanu wakuu? Leo nimeamini watu wanapenda sana ubuyu. Anyways, jumapili imekuwa tamu sana licha ya kelele za hapa na pale.
5 Reactions
25 Replies
977 Views
Mit 24:21-22 SUV [21] Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu; [22] Maana msiba wao utatokea kwa ghafula; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao. Kumcha BWANA...
1 Reactions
5 Replies
419 Views
SERIKALI imetoa waraka wa mwongozo mpya kuhusu uendeshaji wa taasisi za kidini nchini wenye mambo tisa ya kuzingatia. Pia, imeonya na kuyabana zaidi madhehebu yanaoibuka bila kuwa na mifumo mizuri...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…