Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna utunzi wa nyimbo za injili hakika unakonga nyoyo kuanzia mpangilio wa sauti Hadi upigaji wa ala za muziki Top five ya kwanza zinazo fanya vizuri katika maisha yangu ni hizi hapa 1; AIC...
2 Reactions
12 Replies
730 Views
Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20. Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma...
1 Reactions
11 Replies
540 Views
Maisha ya uswahilini ukiwa mgeni huwezi kuelewa wanaishi au wanatania. Umekaa zako tu vizuri chumbani kwako unasikia inje dirishani kwako minong'ono ya watu wakitongozana laivu Hujakaa vizuri...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu! Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini? Watu wawe na...
2 Reactions
2 Replies
639 Views
Ukifuatilia waumini wengi wanapenda kweli kusoma biblia na kutafakari, na wanaposoma wanapenda kuelewa kile wanasoma. Kutokana na dhana nyingi walizojazwa ndani yao, wapo wanaishia kuona usomaji...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
383 Views
Maisha ya mwanadamu ni safari ya ndani—safari ya kuvuka majaribu ya tamaa, hofu, na giza la nafsi kuelekea mwanga wa utambuzi wa kweli. Kati ya maadui wakubwa kabisa wa maisha ya kiroho na...
15 Reactions
13 Replies
962 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
USIACHE UMRI UAMUE HATMA YAKO... Unaweza kuanza kwa bidii, ukiwa na miaka 29 tu— Ukajipanga, ukajiamini, ukajenga ndoto zako kimyakimya, baada ya kupoteza kwenye 18-25s Miaka 31, ukaoa au...
18 Reactions
37 Replies
2K Views
"Ooh malkia wa uingereza alivyo taka kumsalimia nyerere angali mkono wake ukiwa na glove, nyerere alikataa kuumpa mkono na akampa kifimbo chake kama mbadala wa mkono ili kumuonesha hataki dharau...
39 Reactions
219 Replies
15K Views
Jf Amani iwe kwenu nyote. Kama kichwa cha habari kinavyosema je ni sawa ama sio sawa kumwangia nje wakati wa kugonoka? Katika hali ya kawaida kabisa ktk jitihada za kupanga uzazi wa mpango leo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani iliyopo Bunju - Kinondoni jijini Dar es Salaam kumesababisha baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa sakafuni, jambo linalowakosesha...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au...
21 Reactions
76 Replies
3K Views
MAMLAKA ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (MAUWASA) imetumia zaidi ya Shilingi bilioni 29 kukamilisha jumla ya miradi 18 ya maji safi na salama katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Maswa...
0 Reactions
5 Replies
342 Views
Binafsi hapo awali sikuwa interested sana kufuatilia interview ya Milardi Ayo na Jesca Magufuli,lakini jana katika kupitia hapa na pale,nikasema ebu ngoja nichek hii interview Kiukweli sikujutia...
2 Reactions
16 Replies
751 Views
Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata...
12 Reactions
90 Replies
3K Views
Je unajua ubatizo unaua na vile vile unaokoa?. Ipo siri kubwa sana katika ubatizo ambayo laiti watu wengi wangeijua wangeutafuta kwa bidii zote. Hebu tusome mistari ifuatayo, 1 Petro 3:20 “watu...
1 Reactions
4 Replies
584 Views
Watu wanalewa Wengine nusu uchi Dj anapoga nyimbo za dini sio sawa Imagine sehemu Kama kidimbwi zinapigwa nyimbo za dini duh!! Halafu leo ijumaa inachomwa kitimoto sio poa
2 Reactions
12 Replies
494 Views
Habari wakuu! This is a lateral thinking question!(picha kutoka mtandaoni; chanzo stock photos) Ikitokea umefukuzwa kazi ghafla, au umefilisika ghafla ! Plan B yako ya kunyanyuka tena kiuchumi...
2 Reactions
6 Replies
415 Views
Habari wakuu hivi ipo siku Tanzania na viunga vyake tutatembea usiku wa manane iwe kwa shida au raha bila kukutana na vibaka/tatu mzuka?
0 Reactions
24 Replies
811 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…