Msaada wa kupata hizi kopo

Msaada wa kupata hizi kopo

Matata25

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
130
Reaction score
130
Wakuu nahitaji kopo za namna hii, inatumiwa sana kuchukulia sample za mafuta kwenye petrol stations. Nimetafuta kila sehemu nimekosa kama Kuna anayefahamu zinapopatikana anijuze. Inakuwa na ujazo wa litre 1.
IMG_20250606_201831.jpg
 
Back
Top Bottom