Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni
1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi.
2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi.
3. Tanzania - 74% ya...
Hongereni Kwa kazi nzuri ya kujenga maduka mazuri kuzunguka kituo chenu cha polisi, ila kibanda kilichopo mbele ya kituo chenu kinaondoa hadhi ya jengo lenu.... Banda Hilo halitumiki na ni kuu kuu...
Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha...
Wakuu nahitaji kopo za namna hii, inatumiwa sana kuchukulia sample za mafuta kwenye petrol stations. Nimetafuta kila sehemu nimekosa kama Kuna anayefahamu zinapopatikana anijuze. Inakuwa na ujazo...
Nabii Mtalemwa amesema madhara ya kunyamazisha watu wasihoji ni makubwa mno. Amesema "hali inakuwa mbaya zaidi pale wanapowaambia watumishi wa Mungu wasiongee kwa sababu hawataki kusikia mambo ya...
Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC.
Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe...
MOja kwa moja kwenye mada
Tabia ya kwanza . Kumekuwa na tabia za wasanii kutumia infuence yao kusifia chama cha kisiasa au kiongozi flani wakati wa kampen (mfano wasanii hulipwa na chama X...
Habari wadau.
Kuna jambo limenishangaza sana.
Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule...
Kwa waumini wa gwajima;
GWAJIMA yupo mlima wa maombi na anaendelea vizuri!
Leo ni siku ya 4 ya mfungo wa maombi!
Gwajima anaheshimu mamlaka zote,Gwajima hana ubaya na mtu yoyote na anawapenda...
Hawa jamaa watamaliza dada zetu wa Morogoro, jamaa walevi wanapenda chini sio kitoto.
Kuna tukio likitokea la kusikitisha sana siku za karibuni.
Walinunua dada poa wakampeleka walipofikia...
Kuna utunzi wa nyimbo za injili hakika unakonga nyoyo kuanzia mpangilio wa sauti Hadi upigaji wa ala za muziki
Top five ya kwanza zinazo fanya vizuri katika maisha yangu ni hizi hapa
1; AIC...
Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20.
Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma...
Maisha ya uswahilini ukiwa mgeni huwezi kuelewa wanaishi au wanatania.
Umekaa zako tu vizuri chumbani kwako unasikia inje dirishani kwako minong'ono ya watu wakitongozana laivu
Hujakaa vizuri...
Wakuu!
Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments
Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini?
Watu wawe na...
Ukifuatilia waumini wengi wanapenda kweli kusoma biblia na kutafakari, na wanaposoma wanapenda kuelewa kile wanasoma.
Kutokana na dhana nyingi walizojazwa ndani yao, wapo wanaishia kuona usomaji...
Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa...