Kwenu- POLICE USA- ARUSHA.

Kwenu- POLICE USA- ARUSHA.

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,748
Reaction score
3,460
Hongereni Kwa kazi nzuri ya kujenga maduka mazuri kuzunguka kituo chenu cha polisi, ila kibanda kilichopo mbele ya kituo chenu kinaondoa hadhi ya jengo lenu.... Banda Hilo halitumiki na ni kuu kuu
Na kama ni makumbusho basi liwekwe katika Hali ya usafi. Mie yangu hayo tu.
Wasalaam.
 
Picha tulio mali tuone

Ina maana polisi nao wamefata nyao za JWTZ kuwa fremu za kupangisha.
 
Nasikia Lina mgogoro, hayo ni makazi ya mtu inasemekana huyo Jamaa ni mtata balaa, wakimsumbua tu anaenda ofisi zote kubwa unazozijua . Wanatakiwa wamlipe fidia ya hapo. Hapo wanavizia adanje ili waanze kusumbuana na warithi
 
Labda halafu Mkuu maana haingii akillini kabisa kile kibanda kuwapo maeneo Yale huyo naye atakuwa alitahiriwa kimeru na bila shaka na mmeru[emoji52]kubishana na mapoti yataka moyo
 
Back
Top Bottom