Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu? Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali...
3 Reactions
7 Replies
359 Views
Huu Sasa ndio Utume na Injili!! Mchungaji wa Kanisa la waadventista wa Sabato Kinyerezi Maotola John Lumbe amesema wanaothubutu kukatiza uhai wa watu damu zao zitawalilia akisema 'inakuweje wewe...
16 Reactions
44 Replies
4K Views
Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa karibu na operators, mafundi ,drillers na madereva wanaofanya kazi kwenye kampuni za uchimbaji wa madini hapa nchini. Nilishangazwa kubaini kwamba wengi wao...
3 Reactions
11 Replies
634 Views
Wakuu, Yaani kutoka TANU mpaka kufikia CCM bado wameendeleza kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana na kuacha vitu ambayo vinadidimiza taifa kwenye maendeleo ya sekta mbalimbali. Yaani watu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mariam Saidi Mfaume amekaza ngumi kwenye mkono wake mdogo, akashusha pumzi ndefu na kufyatua teke juu lililopita kwenye hewa yenye ukungu. Matone ya mvua yalidondoka kwa upole kwenye majani yaliyo...
1 Reactions
0 Replies
415 Views
KITABU CHA ENOCH KINAWATAJA MALAIKA 200 WALIOASI AMBAO NDÎO WALIIBA WALIIBA SIRI NA TEKNOLOJIA ZA MBINGUNI KISHA WAKAMFUNDISHA BINADAMU Anaandika Robert Heriel Mtibeli Kwa Wakristo na waumini wa...
63 Reactions
331 Replies
28K Views
Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake. Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
5 Reactions
13 Replies
688 Views
Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata...
2 Reactions
10 Replies
619 Views
#NoReformsNoElection Wananchi wa Butiama wamepewa ng’ombe 500 kama sadaka ya Eid al-Adha kutoka kwa Mbunge wao, Jumanne Sagini – tukio lililopambwa kwa kauli za mshikamano, imani na upendo...
5 Reactions
4 Replies
339 Views
aslaam, Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize...
50 Reactions
210 Replies
9K Views
Wakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani? Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni...
5 Reactions
13 Replies
634 Views
Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba...
0 Reactions
2 Replies
314 Views
Waandishi wa habari nao wamejitosa kwenye Kampeni ya kumtetea Rais Samia, Ina maana utekaji, mauaji ya watanzania na unyanyasaji unaoendelea nchini hawauoni? hawausikii? Ama wameamua kushupaza...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa...
1 Reactions
4 Replies
838 Views
Poleni kwa majukumu. Ndugu zangu hapa katikati kuanzia miaka ya 2010 limeibuka wimbi la waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao vya habari ambavyo vimekua ni zaidi ya janga kabisa. Kwanza...
3 Reactions
13 Replies
779 Views
Tazama caption kwenye hiyo picha hapo chini kisha unisaidie kuelewa https://www.youtube.com/watch?v=wZ4YOttFfPw
0 Reactions
2 Replies
341 Views
Habari wana jamvi kwa miaka ya hivi karibuni takribani 3 nmekuwa nkifuatilia projects mbali mbali kuhusu hawa viumbe wa kigeni duniani yaani ALIENS Nimekuwa nikofuatilia documentaries za historia...
5 Reactions
7 Replies
585 Views
Yaani kweli Hussein Bashe na Dr Samia ndani ya UTAWALA wao wa miaka 4 hawajakuza KILIMO hata kwa asilimia 10%. Swali langu ni kutokana na kauli ya kafulila ya kuwa tukikuza KILIMO kwa asilimia...
0 Reactions
3 Replies
395 Views
- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako. * Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia...
40 Reactions
53 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…