Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,027
- 33,007
[emoji344] VIJANA WENZANGU!
Sauti yetu ni nguvu yetu [emoji1434]!
Tusikubali kudanganywa wala kuzuiwa kushiriki maamuzi ya nchi yetu. Wakati umefika wa kusimama imara na kusema:
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
[emoji599] Tuanze leo! Nenda kwenye kurasa zote kubwa za mitandao ya kijamii – Facebook, Instagram, TikTok, X (Twitter) – na u-comment kwa nguvu:
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
Tuna agenda yetu. Tuna ndoto zetu. Tusiwape nafasi wanaotaka kutuvunja moyo kwa kauli za kutusambaratisha. Uchaguzi siyo wa mtu mmoja – ni wa taifa zima.
Tuna haki. Tuna wajibu.
[emoji1428] Tusikubali kupoteza fursa kwa kisingizio cha "reform"!.
[emoji1421] Vijana tukiamua, hakuna wa kutuzuia. Sisi ni wengi, sisi ni nguvu, na Oktoba lazima tushiriki!
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#VijanaKwaUchaguzi
#TunajengaTaifa
#SautiYetuKuraYetu
Uzalendo Kwa taifa ni lazima
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app