Physics ni somo gumu sana kuliko masomo yote hapa Tanzania

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Kwa wale tuliosoma ifunda tech tunajua mziki wa engineering science (physics) sio poa. Mimi tangu nipo form one mpaka namaliza form six sijawahi kupata chini ya A kwenye somo lolote lile lililokuwa linanihusu mpaka mathematics tena math kwangu ulikuwa uji wa ulezi tu ila ngoma ya physics kupata tu B iliyonyooka ilikuwa kimbembe vibaya mno

Mara ya kwanza tu nikiwa form one tulikuwa tunaita engineering science Kwa wale wa shule za ufundi nilipata A tokea hapo sikuwa kupata A ya physics tena nahakuna alopata darasani kwetu mpaka tunamaliza advance

Ukija advance physics ni nzito inameza ujazo wa masomo yote unayosoma ktk combination, pure mathematics ni uji tu Kwa physics hata chemistry hamna kitu. Afu utaskia nyau anasema eti math ngumu kisa yupo EGM huko madongo kuinama stupid
 
Bana kila mtu na udhaifu wake,kipanga wetu english ilimtesa sana,ndio somo alilofeli kuliko yote.

Binafsi hesabu imeninyanyasa sana toka msingi,ila kaka yangu hesabu aliionea mno.
Usiwe specific broo hapa tunaongea in general, nadhan humu Kuna walimu watakuja kutuambia somo lipi linafelisha sana shule za secondary
 
Nimekumbuka sir m1 wakati niko Advance,

Anasema "wanafunzi wa PCM najua wote hapa mna ndoto za kuwa wahandisi, ila nawaambieni Physics ndo itaamua uwe muhandisi au laah, hata mimi nilikua nna ndoto ya kuwa muhandisi ila leo niko hapa na nyie wanafunzi kuwapiga msasa"

Kuna yule wa O level, yeye anasema "physics sio makalio kwamba kila mtu anayo"

Yaan phyz sijui ikoje hata, unaweza ivalia njuga na ikatii had unasema yess, njoo sasa kwenye paper inavokugeukaa km sio yenyewe vilee. Full tafraniii
 
Physics inahitaji practical orientation
Kuna kanuni kabla ya utekelezaji.

Hizo kanuni sasa kuzifikia ni matumizi makubwa sana ya akili

Mfano mdogo tu Archmedese principal,

Ile kanuni maarufu ya e= mc2 zote ni matumizi makubwa sana ya akili ambazo hatuna.

Kwa kupenda mambo rahisi rahisi sio rahisi kuimudu physics.

Ni majiniaz pekee wanawezana na hii kitu.
 
Kuna kanuni kabla ya utekelezaji.

Hizo kanuni sasa kuzifikia ni matumizi makubwa sana ya akili

Mfano mdogo tu Archmedese principal,

Ile kanuni maarufu ya e= mc2 zote ni matumizi makubwa sana ya akili ambazo hatuna.

Kwa kupenda mambo rahisi rahisi sio rahisi kuimudu physics.
Kingine miundo mbinu, ikiwemo walimu, maabara etc.
Bongo bado sana kwa upande wa science subjects, wanaotusua ni kwa uwezo na juhudi zao binafsi.
 
Nimekumbuka sir m1 wakati niko Advance,

Anasema "wanafunzi wa PCM najua wote hapa mna ndoto za kuwa wahandisi, ila nawaambieni Physics ndo itaamua uwe muhandisi au laah, hata mimi nilikua nna ndoto ya kuwa muhandisi ila leo niko hapa na nyie wanafunzi kuwapiga msasa"

Kuna yule wa O level, yeye anasema "physics sio makalio kwamba kila mtu anayo"

Yaan phyz sijui ikoje hata, unaweza ivalia njuga na ikatii had unasema yess, njoo sasa kwenye paper inavokugeukaa km sio yenyewe vilee. Full tafraniii
Physics utaichambua kwenye Chand, uje nelkon mpaka Roger muncaster lakini ukiletewa paper unaanza kuload tu mwisho wa siku unajibu Kwa kuunga Unga tu nadhani kaka zetu waliomaliza advance 2013 watakuja humu kutuambia kwann huo mwaka hapakuwa na A Wala B ya physics
 
Back
Top Bottom