Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,626
Tumechoshwa kufanywa mazuzu ndaninya Nchi yetu aliyotupigania Baba Wa Taifa Mwl Nyerere na Wenzake.
Tumechoka kusindikiza maslahi ya wanasiasa walafi wa madaraka huku wanatwambia tuandamane wao wanapiga hela kwa pembeni.
Tumechoka na matukio ya kutengeneza kutuhadaa sisi vijana tuache kufatilia mambo muhimu ya mstakabali wa Nchi yetu na maisha yetu.
Kwa hivyo tunasema Wiki Ijayo hatuchezi na Oktoba 2025 hatutiki.
No reforms no elections.