Mdogo wangu wakike ameolewa kama miaka 10 iliyopita, anasumbuliwa sana na maumivu makali ya kichwa kisichosikia dawa, nimempeleka kamanga hadi bugando kafanyiwa MRI Lakini haijabaini shida yoyote...
Utangulizi
Ni jumuiya ya wanafunzi wa Yesu waliofanyik limbuko katika kazi ya Kristo Ulimwenguni ambao waliokubali kuacha vyo wakajitoa dhabihu kukaa hekaluni huku mwjuku na familia zao zkitwketea...
Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha...
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma...
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 16/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Ufunuo wa Rohoni (Tazama kwa Macho ya Kiroho):
Nilipouliza rohoni, ikaja picha ifuatayo:
"Ninaona mti mkubwa wa kijani wenye mizizi nene katikati ya nchi, juu yake kuna mama aliyeshika taa...
JUNI 2025
Matukio yanayotarajiwa:
Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari.
Kutaibuka mjadala mkubwa...
Katika tukio la kushangaza linalovuka miaka na kizazi, kiti cha ndege nambari 11A kimekuwa gumzo duniani kutokana na miujiza miwili ya walionusurika ajali mbaya za ndege.
Mnamo mwaka 1998...
Jf kipindi hiko kulijaa uchambuzi ulionyooka na madini Da'Vinci alikuwa ndio anachipukia safi ya mashambulizi ikiongozwa na The Bold , winga ya kulia Infantry Soldier , kushoto MALCOM LUMUMBA ...
Kwa Wanasheria na Mawakili, Moja ya kosa kubwa kabisa linaloweza kukufanya uzuiwe kuendelea kufanya kazi za Uwakili ni pale unapothibitika kufanya kosa la kitaaluma yaaani professional misconduct...
Angalia sehemu ulipokaa hapo. Popote ulipo. Hesabu vitu ambavyo vinakuzunguka. Asilimia zaidi ya 90 vimegunduliwa na wazungu (usijali kwa sasa vinatengenezwa wapi)
Halafu katika hao hao wazungu...
Wakuu,
Mimi ni mwanachama mpya humu JF kwa upande wa kuchangia. Huu ndio uzi wangu wa kwanza tangu nijiunge, lakini leo nimeona niandike maana moyo wangu umebeba uzito mkubwa sana kuhusu haya...
Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa...
Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati.
Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
Waziri wa Afya Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo, kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya kwa kuboresha miundombinu...
Moyo wangu unaniuma,
Najiona mwenye hatia,
Sina raha nalazimisha tabasamu,
Mimi Jack Daniel ni mwanachama wa chama cha mapinduzi Kwa miaka 23 mpaka leo hii.
Nakumbuka nilichukua kadi hii...
Kuna mchambuzi mmoja wa kimataifa UTV/Azam huwa wanapenda sana kumuweka achambue siasa za kimataifa, huwa anavaa sana kisela, jeans za ajabu ajabu na tisheti, ukimuangalia hakai kama mchambuzi wa...
Naanza kuwa na mashaka na mwenendo wa serikali ya ccm iliyopo madarakani.
Inawezekana vipi barua ya kufungia kanisa wizara waka kanusha huku polisi wakizuia kanisa.
Ina maana hii barua ni mtu au...
Naomba tujadili hii hoja.
All I know people join in military because had no better option in life .
Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa...
"Kijana wa kiume, ni muhimu kutambua kwamba dunia haipo upande wako siku zote. Hii ni kwa sababu tangu enzi za mababu, wanaume tumehesabiwa kuwa na uwezo wa kutatua changamoto, hata ziwe kubwa...