Lecheminduroi2
JF-Expert Member
- Jan 7, 2025
- 265
- 668
Jf ishajifia mkuu, hata stori za kutunga chit chat hakuna tena kama Gudume au stori nzuri za kuvutia kama za Lara1.Jf kipindi hiko kulijaa uchambuzi ulionyooka na madini Da'Vinci alikuwa ndio anachipukia safi ya mashambulizi ikiongozwa na The Bold , winga ya kulia Infantry Soldier , kushoto MALCOM LUMUMBA .
Subs unakuta Da Vinci XV , Jamaa mwenye avatar ya young Obama na wakali wengine sasa tumebakiwa na kina Maghayo Mabange
Siku hizi kabla ya kufungua uzi unasoma kwanza Id ya nani, ukiona sijui magical power mara holoholo ni kutoka nduki tu.
Kuna mwamba mmoja ye kila uzi wa kipumbavu alikuwa anakosoa, watu tukasikilizia siku atayoshusha uzi wake. Siku ikawaidia alishusha madini members wote tukakubaliana jamaa ni kichwa halafu ndio ikawa mwisho wa ile Id kuonekana jamvini