Sifa kuu ya wanyama ni kuzaa na kunyonyesha ingawa wapo wengine ambao wana sifa za kipekee.
Leo tuwaangalie kwa undani kidogo aina ya wanyama ambao wao tofauti na wengine hutaga mayai(Egg-laying mammals).
Hizi ni species mbili ambazo wanasayansi wamewaweka kila mmoja kwenye familia yake lakini wapo katika oda moja ya MONOTREMATA, mmoja ni Echidnas familia yake ni Tachyglossidae na mwingine ni Duck- billed platypus familia yake ni Ornithorhchidae.
Aina hii ya wanyama wanapatikana pekee katika bara la Australia maeneo ya Tasmania na New Guinea.