Ukiacha zoezi zima la kuzuia ujenzi usio na kibali kugubikwa na Rushwa, wanaodai kulipia hivyo vibali wanadai wamelipa mkononi bila kupewa control number.
Lakini kisheria ni halali kulipia hivyo...
Jamii forum vip ? mashasham yote aya ya Xmass na Mwaka mpya dunia nzima apa bado ziiiiiiiiiiiii
Ebu tupe kitu angalau kwa home page apa,au kuna tarehe za kubadili laiti ningekuwa nakumbuka mwaka...
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 22/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa...
Mradi PMI Dhibiti Malaria mikoa ya Kusini Pwani, Lindi, Mtwara na Ruvuma kuna uonevu kwa iCCM providers kwa miezi mitano hawajaripwa na waliahidiwa kusaini mikataba ya kazi nalo bado hawajafanyia...
Habarini,
Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani.
Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua...
Huu ni wizi kwani kadi hiyo siyo smart na ina namba kwanini zisitumike namba tu kumtambua mteja iwapo kapoteza kadi.
Kila kitu serikali imegeuza kitega uchumi tutafika kweli?
Iran anaenda kufunga bahari mafuta yatapanda na Samia atapata sababu ya kupandisha bei ya vitu.
Vita hii inaenda kuitumbukiza dunia kwenye shida zaidi, Iran anaenda kufunga lango la bahari.
Hii...
🔥 Kijinga cha moto katika ushirikina huweza kuwa:
1. Kifaa cha kupeleka ujumbe wa kipepo – yaani, moto huo ukatumika kuteketeza au "kuwasha" madhabahu ya giza.
2. Njia ya kuingiza uchawi au...
Leo ndio nimeyaona maji haya Samsun.,siyapigii promo siwajui wahusika ispokuwa nimeona wamekuja na utofauti sana wa package yao. Wamegundua vipi watu wengi hawapendi kutembea na chupa ila wao...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Delilah Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Kwa taaluma, Dkt. Kimambo ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, na...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu, Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa...
Hello wana Jukwaa;
Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa.
Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida...
Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha...
Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni...
Wafuasi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Wafanya Ibada Licha ya Uwepo Mkubwa wa Polisi
Licha ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya karibu na Kanisa la Ufufuo na Uzima, lililopo Ubungo...
Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo...
Ndivyo ilivyokuwa hata wakati wa vita kuu ya pili
Lucas Mwashambwa jiunge Mgambo fursa ya kulipwa kwa US Dollars inanukia uachane na Buku 7
Dominica njema 🙏