Kuna wakati mgonjwa aliyelazwa hospitalini au ndugu zake huamua kwa hiari yake/yao kusitisha/kumsitishia matibabu bila ridhaa ya daktari kutokana na sababu mbalimbali.
Je wewe mdau ushawahi...
Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA!
Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha!
Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira...
Mzuka Wanajamvi
Nikusaidiana katika mbinu mbali mbali za kuutafuta utajiri ili tuendeshe maisha yetu kiurahisi na kuleta maendeleo yetu binafsi, kwa waliotuzunguka na taifa kwa jumla.
Kumbukeni...
Sina muda wa Salamu.
Nina hasira kichizi.
Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha...
“Mashoga Wanasema Wanataka Haki Zao, Lakini Kabla Hatujaanza Kujadili Hizo Haki, Tuwajadili Wao Kama Jumuiya”
Nianze kwa kusema jambo moja, kwa sauti ya juu na kwa tahadhari ya tahadhari: Dunia...
Sisi na Kenya tunautofauti wa sisimizi na tembo.
Siasa za Tanzania ni kama tembo. Sera ya Kutofungamana na taifa lolote ni msingi mkuu wa uhuru. Kwa sasa twaweza mcheki xi ji ping Kenya hawezi...
Kosea yakutoke sehemu ya watu wengi ndo utajua.
Unajijambia ofisini mara anakuja mtu kabla ya ile scent haijaondoka.....unatafuta kwa kuweka sura.
Bwana mmoja alikuwa anacheza draft, sasa...
Mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umebeba historia ndefu inayohitaji muda mrefu kuielezea, lakini nitajaribu kuifupisha kwa kuangazia mambo machache muhimu.
Mpelelezi wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nasema Kwa dhati ya moyoni ndugu zetu ni wakarimu sana kutuzidi.
Mimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha...
Wakuu
Baada ya kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020, CHADEMA ilipata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa ambaye ni Aida Kenani muwakilishi wa Jimbo la Nkasi.
Aida ni ishara ya wanawake...
Napendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza...
Kwema Wakuu!
Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha;
1. Usiwe na mazoea na binadamu.
Iwe ni...
Wakuu by age nina 25
Mwaka huu ndio nahitimu shahada yangu ya kwanza kwenye masuala ya maendeleo ya jamii.
Nina Biashara ambayo inauhakika wa kunipa 500k kila mwezi ambayo naweza kuifanya mara...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu...
Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
Leo ikiwa ndiyo hitimisho la likizo ya siku 60 alizopewa Mchungaji Kimaro akiwa pia amepewa msamaha na Kiongozi wake mkuu Dr Malasusa
Mchungaji Kimaro amerejea tena Kanisani Kijitonyama ambapo...
Vita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika.
Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? ..
Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia...
Nchi ya Saudia inaingiza mabilioni ya dola tokana na hija ambayo, kimsingi, ni kwenda kuzuru makaburi ya waarabu na kutupatupa mawe na kukimbia hovyo kama vichaa kwenye vilima vyao.
Je Afrika...