Hivi wakuu Mungu ametuumba sie wanadamu tuje kufanya kazi? Na kuwa matajiri? Na kwanini wengine ni matajiri na wengine ni masikini? Na je kuna watu special wameumba kuwa matajiri na kuna watu...
"Jeshi la polisi lilishatoa maelezo kuhusu gari ipi inayostahili kuwekewa ving'ora na hata wakati mwingine na Mimi nasikia king'ora kimepita na hujui cha kitu gani kwa sababu gari ina namba...
Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Kissa Kasongwa, ameagiza mkandarasi wa mradi wa maji wa Ipelele kufika ofisini kwake haraka ili kutoa maelezo ya kina juu ya kusuasua kwa utekelezaji wa...
Kama ulikua hujui kuwa wanaume KUPIGANIA mwanamke huo ni USHAMBA wacha nikufahamishe;-
Wanaume wengi huishia pabaya kisa wanawake,
Na hasa wale wanaume ambao humpenda demu,
Kiasi...
Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika...
Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.
Lakini siku za hivi karibuni Viola...
Wakuu salama,
Nauliza kwa mtu ambaye anataka kuwa Academician na hajafika GPA ya 3.8 kuna procedure zozote anaweza kuzifanya awe academician? kwa Maana ya Tutorial Assistant katika vyuo vikuu...
Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering...
Kama mada inavosema hapo juu, kumekuwa na kasumba mbaya sana kwa shule binafsi na hata za serikali kusambaza namba za simu za wazazi ama walezi wa watoto na majina yao hususani kwa wale...
Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani.
Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle...
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi...
Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema.
"HILI NALO MKALITIZAME"
Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo!
Lakini ukiwa...
Ndiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha...
Mtume Paulo ndo alio anzisha Utatu kivyake, lakini alicheza namna muhimu katika kueleza na kutekeleza utamaduni uliokuwepo ndani ya dini ya Kikristo mpya na hii iliabiri taarifa mapema ya utatu...
Familia ya kijana Bernardo Masanja, mkazi wa Mtaa wa Tambukareli, Manispaa ya Shinyanga, imetoa wito kwa Jeshi la Polisi kuongeza kasi ya msako na uchunguzi ili kuhakikisha mtuhumiwa wa mauaji ya...
Nikiwa ndani ya mwendo kasi miezi kadhaa iliyopita,abiria mwenzangu anaongea na mtu kwenye simu kuhusiana na watoto ambao wameshindwa kumhudumia mzazi wao apate matibabu
Baada ya kukata simu yule...
WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza...