Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

16 June 2025 Waterkloof Air Force Base, South Africa Kufuatia vikosi vya SADC vya Tanzania, Afrika ya Kusini na Malawi kuondoka Goma DR Congo kupitia Chato Geita Tanzania Shirika la ndege la...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Boti ile kusafirishwa Kwa semi nadhani ilikuwa sehemu ya kampeni. 2. Kukamatwa Madawa ya kulevya na mtu kupewa biriyani ilikuwa ni kutafuta vya kujazia nyamamyama kwenye hotuba ya Leo ila tukio...
2 Reactions
2 Replies
374 Views
Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za...
33 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari wakuu Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/= Naombeni...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba sikubaliani na Lissu kifalsafa ya maisha lakini sipendezwi kabisa na uwepo wake gerezani. Lissu ni msomi mkubwa. Alumni wa UDSM. Ni moja Kati ya think tankers na hazina ya...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
(Bright and Genius Land Chronicles) Utangulizi wa Riwaya Karibu Bright and Genius Land nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi...
1 Reactions
3 Replies
442 Views
Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi? Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga.. Hivyo wenye...
19 Reactions
36 Replies
2K Views
Wenyeji wa KIGOMA naombeni kufahamishwa maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi kwa mwaka mzima Ili nikaishi huko Lengo langu ni kuwekeza kwenye kilimo kuanzia heka 100 na zaidi,eneo liwe Lina ardhi...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Kama afya yako ya kiroho haijakufa ukiwasikiliza hawa watu wawili kwa makini utagundua tabia zilizo ndani yao kama umeshakufa huwezi kunielewa na utabishana kama pimbi.
2 Reactions
14 Replies
663 Views
Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa msimu ila udhaifu wa Simba,Singida Black Stars ndio umesababisha Yanga kuchukua ubingwa,walippteza michezo miwili mfululizo na ile ilipaswa kuwa faida kwa hizi...
1 Reactions
9 Replies
544 Views
Huenda hawa walionzisha hizi siku za amani , sheria , familia , baba ,mama , mwanamke ,mtoto , wapendanao ... wanatuona mafala kwa vile tunavozishobokea hizo sikukuu . Sababu kuu ni kua maisha yao...
1 Reactions
1 Replies
288 Views
The semen released by a healthy man after intercourse with a woman contains 400 million sperms. So, logically, if that amount of sperm found its way into the uterus, 400 million babies would be...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Je unapenda games ? Unahitaji kucheza games za Playstation 3 kwenye simu yako ? Leo nakuletea maujanja haya kwenye simu yako. Kuna kitu kinaitwa aPS3e Emulator ni app maalum kwa ajili ya kuweza...
1 Reactions
2 Replies
548 Views
Mchambuzi Alex Ngereza asema Yanga wanatoa Supu kwa upendeleo, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍️ "Yanga wanatoa supu kwa upendeleo,haiwezekani kila mwaka zinatolewa kwa watu wa dar...
7 Reactions
17 Replies
754 Views
Miaka 8 nyuma Roho Mtakatifu aliwahi kunitembelea chumbani kwangu nikasikia sauti ikiniambia " Ephraim unajuwa unaroho ya nani? Glafla macho yangu yakafunguka nikaona NIPO KATIKA DUNIA YA KARNE...
1 Reactions
8 Replies
621 Views
🚨 BREAKING NEWS 🚨 Rais wa Marekani, Donald Trump, anadaiwa kufikiria kutoa Dola Bilioni $30 (shilingi trilioni 78 za Tanzania) kwa Iran ili iachane na mpango wake wa nyuklia. Je, kiasi hiki cha...
0 Reactions
3 Replies
333 Views
Kuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya". Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na...
0 Reactions
5 Replies
339 Views
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 27/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
0 Reactions
9 Replies
992 Views
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Shalom! Naomba kwa yeyote mwenye mbegu za microgreens kama leek, radish n.k tuwasiliane anipe specifications na bei.
2 Reactions
5 Replies
350 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…