Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi...
Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake.
Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini...
Hakika amefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Ameng'atuka kwa heshima kubwa, daima tutaendelea kumheshimu kwa utumishi wake ulio tukuka sio tu kwa wana Ruangwa bali kwa Taifa lote kwa ujumla.
My Take
Dar itapumulia mashine baada ya Mwanza The Rock City kuzindua Daraja refu Afrika Mashariki.
Hiki kichekesho kimeandikwa na hazeti la The Citizen 😁😁
---
Mwanza is poised to become a real...
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu?
Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa...
Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi
Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa...
Wakuu,
Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata...
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku, kama kichwa cha mada kinavyosema mimi ni kijana wa miaka 31, na ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto sita. Baba alifariki miaka 7 iliyopita tumebaki...
"Waliotafuta majukwa mengine nawapongeza lakini mimi ni mmoja ya wabunge hawa wanaoitwa 'Covid 19' niliyeandika barua ya kuomba kurudi kwenye chama kwahiyo bado naamini CHADEMA ndiyo jukwaa sahihi...
Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je, Polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama...
Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita...
Hawa mabinti ni marafiki hawana
Iko hivi
1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema
2 Safari ya kuitwa COVID 19
Ndugai alivotaka uwakilishi wa...
Wakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu
1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na...
Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya...
Wanasema an empty mind is a devil workshop.. hili naliona hapa.. najaribu kuawaza vitu vya hovyo tu hapa.. sasa kuna huyu mdau Zozo bingi... Ananitafakarisha sana.. na anavyoaminika...