MTU Kama Mimi mwenye miaka 53.
Nashangaa Sana pale ninapoacha kuvaa madani shingoni wanasema unapoteza touch.
Nilipanga nikifikisha miaka 53 ambayo nimefikisha mwaka huu basi niache kuvaa IST...
Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana
Ni kwa nini?
Wakuu eti hapa ni Israel
Siamini ninachokiona, Hawa wairan wameshindikana haki vile Persian sio waarabu leo ndo nimeamini[emoji1313][emoji1313]
This is insane yo[emoji44][emoji33]...
Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi
Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba.
Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya uongozi, ujasiri...
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kuna jambo moja ambalo halijawahi kunishangaza kama binadamu alivyo na jeuri ya kuamini anajua kila kitu – huku akijua jambo moja tu: kuwa haelewi hata kile anachodhani...
Wakuu mpo!
Mfumo wako wa chakula (Tumbo) ni muhimu kama ubongo. Inashangaza kuona watu wakipanda boda boda wanavaa helmet ila wakienda kula wanakula kimazoea bila kulijali tumbo kama wanavyo...
Wakuu, kweli Mungu anatupenda. Ameona jinsi wanadamu walivyo wabishi na wagumu kuamini, akawatumia wanasayansi wasaidie kuthibitisha habari zilizoandikwa katika Biblia. Ripoti za wanasayansi za...
Wasalaam.
Kila kitu kizuri kina ubaya wake. Kama ilivyo umeme, maji kukurestisha in Peace ni dakika 2. Magari na piki piki vinatumaliza sana now days. Unanunua kagari kako unavimba nako...
Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara...
Nikweli heli hela yako hainihusu kabisa wala sina mamlaka ya kukupangia namna ya kuitumia upendavo wewe
hapa tuna teta na kuelekezana tu.
MALAYA HANA SHUKRANI. ukweli ndo huo mwanamke malaya...
Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome
Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa...
Na Mwandishi Wetu, Mwanza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Julai 03, 2025 amemtembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la Uboreshaji wa...
Wayahudi wao katika agano la kale waliwekewa vigezo vya wanyama wasiotakiwa kula vikiwemo wanyama walio na kwato zisizopasuliwa na wasiocheua, ndio maana hawali hata ngamia, sungura n.k kuna...
Vipindi vyenu vipo kizamani sana!
Havina mvuto kwa kizazi cha sasa – yaani Gen Z.
Maudhui hayajawianishwa na ladha ya kidijitali/Kisasa, kasi ya dunia ya leo, wala ubunifu unaohitajika kuvutia...
Taarifa ya Vituo vya kufanyia Mitihani ya Taaluma
Baraza la Famasi linapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kozi za famasi waliowasilisha maombi ya kufanya mitihani ya usajili na ya taaluma kuwa...
Ujerumani [emoji629] yenye idadi ya watu milioni 83 huzalisha umeme mwingi zaidi kuliko bara zima la Afrika lenye nchi 54 na jumla ya watu bilioni 1.5.
Wazalishaji wakubwa wa umeme barani Afrika...
Nini maana ya kuchanga, kutoa michango.
Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea.
Hii cwt nilianza kuisikia miaka...