Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje?
Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini?
Je, jina gani lingekua sahihi;
- United States Of Africa (USAf). Jina...
Taasisi ya Jamii Africa kupitia jukwaa lake la JamiiForums @jamiiforums imeandaa mjadala maalum uliowakutanisha wadau kutoka serikalini, asasi za kiraia, pamoja na wananchi, kwa lengo la...
Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae...
Kwa mujibu wa ngano za Biblia na Quran, Mfalm Suleiman alikuwa na vipaji 666, wake 700, nyumba ndogo 300, na zaidi, alijenga hekalu lake au "nyumba ya Mungu" kana kwamba alikuwa Mungu au...
Isa 4:1 SUV
[1] Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Ukisoma...
Uhai ni safari ya nafsi inayojitahidi kugundua maana ya kuwepo. Hatua za kutatanisha, ambapo mtu anajikuta akitafuta majibu, macho yake yakitafuta mwangaza katika kivuli cha kutokujua. Ni dunia...
Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the...
Binadamu tupo busy na mambo ambayo hayana msingi tunawaza kula kufanya mapenz kulala Tabia zote za mnyama kupigana kuuana Dunia ina kila kitu lakini imekosa upendo hatuna upendo kuanzia kwenye...
Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili...
Sio tuu kwamba tuko top 10 ya Nchi Zenye Amani Zaidi Afrika Bali tunaongoza Afrika Mashariki.
https://www.instagram.com/p/DLt5zTFt0fz/?igsh=MXR5djI1MHJtNzhrcQ==
My Take
Hongera SSH Kwa...
Pikipiki za umeme za magurudumu matatu (bajaji) zilizoanza kutumika kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), zimerahisisha usafiri kwa wageni na...
Maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani 2025
Mgeni rasmi: Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri Mstaafu wa Masuala ya Usawa wa Jinsia nchini Sweden.
Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174...
Wakati Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi ikikabiliwa na ongezeko kubwa la watoto wachanga, hasa wale wanaozaliwa kabla ya kufikia muda kamili wa ujauzito (njiti), Mpango wa NEST360 kwa...
Ukatili, impunity ya serikali/uongozi wa ccm TOKA JUU MPAKA CHINI inaanza ku permiate mpaka kwa watendaji wa chini huko vijijini.
mauaji ya enock
Soma DOKEZO - Kijana Enock Thomas Mhangwaock...
Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi
Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁
Wanaroga sana wanaume safari za waganga...
Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha
usitafute mwanamke wa
kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Edwin Mhede, ameongoza zoezi la utambuzi na uchanjaji wa mifugo mkoani Njombe, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo...
Je wajua nchi ya Ireland huwaga wana tamasha au festival ya watu wenye nywele nyekundu kila mwaka. Pia Ireland ni nchi inayoongoza duniani kuwa na watu wenye nywele nyekundu asilia bila kuweka bleach.