Msaada kuhusu VISA ya kwenda china Kibiashara

Jumax

Senior Member
Mar 4, 2017
117
229
Habari ndugu wanajamvi,

Binafsi ninaomba msaada kwa anaetambua jinsi au ni hatua gani rahisi, halali na za HARAKA kuweza kupata visa ya kwenda china kibiashara,
Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwenu, Ahsanteni.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
maana nimejaribu kutafuta humu jukwaani kwa bahati mbaya sijapa kuona uzi unaoelezea kwa kina suala hili
 
Mkuu haina shida sana. Nenda ubalozini. Sema changamoto huwa nikuwahi asubuhi ili upate huduma mapema coz jamaa mwisho wa kufanya kazi ni saa tano ( Kama nitakuwa na kumbukumbu sawa). Kuna mida huwa kunakuwa hakuna watu kabisa but kuna time itakulazimu ufike pale hata saa 10 alfajir ili kuwahi namba za mwanzo. Vinginevyo utafute mtu wa kukushikia namba ambaye utamlipa.
 
Asante sana mkuu na huwa inachukua muda gani mpaka kupata visa mkuu?
 
Mwakibete wachina wanataka wageni wengi waende kwao kununua bidhaa hawana masharti magumu ya kupata visa na pia kama kuna vitu hauna wanakuelekeza ili ukamilishe upewe Visa sio kama USA ukiwa huna sifa umefeli hawakupi tena...usimtumie mtu fanya kila kitu mwenyewe labda agent ambae anatambulika na ubalozi kwa ajili ya kutolea Visa wageni...
 
Back
Top Bottom