Maisha ya hapa duniani huwa hayaendeshwi na ukweli uliowekwa na binadamu.
MTU anayekupa NO na kukuambia haufai MTU huyo huyo kesho anakupa YES na kukuambia unafaa.
Hivyo unapoishi hapa duniani...
Wakuu, leo ngoja nitembee kivingine leo mimi nitaongelea kidogo japo kwa uchache kuhusu Baba km nguzo imara na msingi wa Familia Imara.
Ni kwamba Familia yoyote chunguza km unaweza kuchunguza...
Ni kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni...
Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha...
Wakuu,
Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua.
Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima...
Maadui zake wote amewaweka mbali na ardhi yake.
Huku huko waliko amewafuata na kuwazunguka na Kambi za kijeshi na vibaraka wake aliowawezesha.
Lakini Kuna system ambazo ameiweka kumonitor maadui...
Siku ya jana, kiongozi wa kidini, Boniface Mwamposa akiongozwa na rais wa Tanzania, Samia Suluhu amezindua hema la kisasa na kubwa la thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 za kitanzania...
Jeshi la Polisi kupitia Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania limewaonya Madereva na Makondakta wa vyombo vya moto mikoa yote nchini kuacha kuzidisha abiria wanapokuwa safarini na...
Sio Tanzania tu bali Afrika nzima.
Kwa sababu, kanisa la Mwamposa ndio taasisi pekee ambayo ina waunganisha wakristu na waislamu kwa pamoja.( kiimani)
Wakristu na waislamu kwa pamoja...
Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni...
Ni wito wangu kwenu vijana hasa wa kiume. Ni kweli hali ya hisia za ngono ni kali katika hatua uliyofikia jitahidi uzishinde kwa kufanya kazi na kumuomba Mungu.
Kila unapoona hisia za ngono...
Wakuu habari…
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.
Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu...
Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein.
Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo.
Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa...
DUNIA NA ULIMWENGU ULITOKEA WAPI?
BIG BANG ni mlipuko mkubwa ajabu sana ambao ulitokea hapo kale ikihusisha dark energy/nishati nyeusi au nishati ya kiza na chanzo cha nishati hiyo ya giza...
Imwe, Igele, Izato,..
kwa kabila la Wakikuyu, Ila kwa lugha ya Kiswahili maana yake ni Moja, Mbili, Tatu,...
Kwa nini iwe Izato na wala siyo tena Mbenge kama vile ilivyokuwa hapo awali!?
Sababu...
Katika historia ya mwanadamu na hata katika maandiko matakatifu, ipo tofauti kubwa kati ya viongozi wa dini na watumishi wa kweli wa Mungu.
Ni muhimu kwa jamii kutambua kuwa si kila kiongozi wa...
The world doesnt need too many rich people , if everyone had $10 million dollars no one would clean the street ,collect the garbage or take care of gardens.
So to keep society running smoothly...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au...
Ushauri kwa Serikali Kuhusu Kufungia Makampuni ya Betting
Makampuni ya betting yamekuwa mengi sana katika jamii yetu, yakileta athari chanya na hasi. Kufuatia hatua ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT)...
Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni...