Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu salam, Nisiwapotezee muda. Kwa muda mfupi niliokuwa Tunduru hasa maeneo ya mpakani na nchi ya Msumbiji nimejifunza mengi ambayo naona kama chanzo cha jamii za maeneo haya kuwa chini...
2 Reactions
0 Replies
236 Views
Mbunge wa Iringa Mjini, 2020 - 2025, Jesca Msambatavangu akipangua maswali ya Charles_william kupitia One on One ya Wasafi TV. Amesema "Wakati fulani uangalie maoni unyaotoa wewe ni nani na una...
1 Reactions
9 Replies
493 Views
Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na...
3 Reactions
11 Replies
852 Views
Serikali ya Tanzania imetangaza malengo yake ya kiuchumi katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Taifa linafikia pato la Taifa la Dola za Kimarekani Trilioni moja na...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
1 Reactions
9 Replies
370 Views
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu...
33 Reactions
263 Replies
10K Views
Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi...
0 Reactions
6 Replies
450 Views
Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia...
12 Reactions
62 Replies
2K Views
Body Language yake tu inaonyesha ni kama vile ana Mawazo, Anaogopa kitu halafu kuna Maamuzi anataka kuchukua.
2 Reactions
2 Replies
414 Views
MHUBIRI 7 Ukweli wa maisha 1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa. 2 Heri kuiendea nyumba ya matanga, Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo ndo nimesikia kumbe Kuna Jeshi la Akiba, kwa Wajuzi Hawa Jeshi la Akiba ajira zao nao zikoje.. Wazee kama Mimi 45 Vip wanaitajika huko
3 Reactions
19 Replies
678 Views
Ukiangalia dunia katika mtazamo wa asili yake utagundua ipo katika mfumo tegemezi, yani wewe-mimi-miti-wanyama-maji-hewa, ni circle ambayo mmoja ikitoweka mazima basi balance inakosekana...
2 Reactions
3 Replies
199 Views
Kama hujatembea mataifa ya wenzetu unaweza usielewe hii kero niisemayo hapa. Ukweli ni kwamba barabara zetu zinawekewa matuta ya kikatili na ya hovyo sana, licha ya haya matuta kuchangia...
1 Reactions
1 Replies
201 Views
Wakuu, Kwa waliopo BUKOBA mwenye moyo wa upendo na huruma, naomba niwakaribishe kuungana nami tarehe 26/7/2025 katika safari ya baraka kutembelea wahitaji kutuo cha kulelea watoto yatima TUMAINI...
2 Reactions
3 Replies
185 Views
Niliwai leta mkasa wangu nafikri wapo wanao kumbuka baada ya kutoka Mozambique. Akuna muda wa kupoteza Tuendelee Sasa Baada ya kurudi hapa tz nyumban nikiwa mfukoni Nina elf 30 TU naikimbuka...
28 Reactions
285 Replies
28K Views
Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu...
1 Reactions
57 Replies
2K Views
Jamani hii maana yake nn ivi kwann mafundi simu wengi sana yaaan wengu huwa ni maotadh wa dini ya kiislamu alilimia 99 ni kwann fundi simu na ushekhe vinamausiano gani asanteni
0 Reactions
11 Replies
418 Views
Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji...
2 Reactions
24 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…