Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana yaani aliwezaje kumsaliti mungu wake? Na mungu wake hakuweza kumfanya chochote kile? Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana
Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili,
*******
Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua...
Habari zenu wanajukwaa..
Nilikuwa naomba kufahamishwa majimbo pendwa zaidi kwa Marekani kama ambavyo tuna mikoa inayopendwa zaidi kuliko mingine hapa Tanzania..
Mimi nayafahamu majimbo machache...
Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo...
Nasubiria comments zenu:🤡🤡
Kuna nyakati za maisha yako ukishafikia mambo ya kutafuta attention unaweka pembeni sasa unaangalia namna kujiweka mahala salama ili ukifika 60+ ule michemsho bila...
Watu wasiojulikana wamemteka na kumuua kinyama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Magufuli High School iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.
Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la Cuthbert au BIG...
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya amesema kuelekea katika Uchaguzi Mkuu 2025, taasisi yao imekuwa ikishirikiana na Wadau mbalimbali...
Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,
Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard...
Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo...
Ilikua siku ya Jumapili tarehe 06/07/.2025 asubuhi, niliamka nikawa na kazi ya kufanya, tena siku hio sikwenda hata ibadani ili niweze kufanya BIDDING kufanya submission on time. Bila hata...
UTANGULIZI
Kila binadamu ameumbwa na kusudi la kipekee na la muhimu duniani. Hakuna aliyezaliwa kwa bahati mbaya, na hakuna mtu asiye na nafasi yake maalum katika dunia hii. Hata hivyo...
Miezi miwili Jamaa alipata ajali ya boda boda , aligongwa .
Yeye alikuwa bodaboda , akazimia na aligongwa na bodaboda mwenzake .
Then Juzi Sabasaba Jamaa aligongwa na V8 na akasagwa na roll...
Unajua nini bros na sis
It is never guaranteed to us, hata kama ukizaliwa familia tajiri haimanishi hautaweza kuja kufirisika, it is never guaranteed kwa hio acha kuona hali uliyo nayo sasa hivi...
Yani ukiwa Mkristo ukisema uachage ujinga wa kudhalau kusoma neno la Mungu, Unaamua unasoma na wewe biblia kidogo.
Japo wengi hawajasoma biblia wakamaliza lakini walau unakuwa na kakitabu kako...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.