Wasalaam,
Wakati wa makuzi yangu mpaka naufikia umri wa makamu Kuna busara nyingi na mausia "yasiyo ya msingi" ila muhimu niliyokuwa nikipata kwa wazazi/walezi hata na jamaa zangu ambazo naweza...
Wasaalam wote.
Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi:
...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa...
Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.
Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.
Kama unapinga pinga kwa hoja.
Ikitokea imetokea umekufa au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka...
Siku moja, panya wa mjini alisafiri kwenda kumtembelea rafiki yake, panya wa shambani. Panya wa shambani alimkaribisha kwa furaha, akamletea chakula alichokuwa nacho – mbegu, mizizi, na vipande...
Nayatafakari sana maneno yale kwenye Bible takatifu kwamba hapo mwanzo dunia ilikuwa kiza totoro na uso wake ukifunikwa na maji.
Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na...
Wakuu wa Jamii Forums,
Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania...
Swali la baadhi ya wananchi;
Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe?
JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na...
Kama wewe ni Mkristo mkatoliki ni sala, Novena, Rozali au uliwahi funga kuombea kitu na kikafanikiwa?
Mfano kwenye kuomba kazi, mke au mume au masomo n.k tushirikishe
Pia madhehebu mengine...
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa...
Wakuu,
Kuna taarifa nimeiona huko Marekani nimepatwa na maswali
Kuna kauli Donald Trump alitoa kama siku 5 nyuma ambayo chama cha upinzani cha Democrats kimemshikia mabango na kusema anatakiwa...
Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu.
Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia...
Mahakama Kuu ya Zanzibar imewapeleka rumande watuhumiwa sita wanaokabiliwa na tuhuma nzito za mauaji ya Sheikh Jabir Haidar Jabir, tukio lililotikisa jamii ya Zanzibar mwishoni mwa mwezi Mei...
Salome Kitomari anakumbusha wajibu wa waandishi wa habari kutoa taarifa Sahihi, pamoja na kupambana dhidi ya Taarifa Potofu kwa kutumia nyenzo za kidijitali zinazosaidia kubainisha Uhalisia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.