Maduka mengi yamekuwa na paka anae cheza cheza mule dukani, sasa najiuliza uwepo wake ni kwasababu ya kupambana Kuua panya wanaoharibu bidhaa dukani au wanakazi nyingine?
Maana kuna mmiliki wa...
Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi
Polemi sana Wakati wa Dar es...
YouTube imetangaza mabadiliko mapya kwenye mpango wake wa kupata mapato (YouTube Partner Program) ambayo yataanza rasmi Julai 15, 2025.
Lengo la mabadiliko haya ni kugundua kwa ufanisi zaidi...
Nina watoto wawili wanasoma shule za bweni za serikali kitaifa. Mmoja yuko kidato cha sita mwingine kidato cha kwanza. Wamesema wanaruhusiwa kulala kuanzia saa nne usiku na kuamka saa tisa na nusu...
Kwa suala la taasisi kuwa na ofisi ndani ya Tanzania limeikubwa Browser ya Brave ambayo ina vitu vingi vizuri na inafanya kazi kama Chrome. Leo nimejaribu kuidownload ili nipate vitu vizuri...
Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika...
Miaka kadhaa iliyopita, Azam TV alikuwa anazidiwa na kampuni nyingine kama Star Times kwa idadi ya ving'amuzi lakini kwa sasa hali ni tofauti. Azam TV ndiye anaeongoza na anavizidi ving'amuzi...
Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽♀️😔.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani...
Dunia siku ya leo inakuwa mbali na jua Kwa 152.5 million kilometers kutoka kwenye jua,
Hivyo satellite kwa siku ya leo zinaiona dunia ikiwa katika hali ya ukungu mzito wa icy.
-Baridi ikizidi...
Kwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina...
Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job .
Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani...
Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji...
Kwakuwa mada za ulimwengu wa visivyoonekana zina mwitikio na walio wengi kuonesha nia ya wazi ya kujifunza, tusiwanyime maarifa💯, kwa kuwa wewe ukipewa bure, sharti utoe bure!
Unajua, kabla...
Kati ya makosa yangu makubwa niliwahi kufanya ni kuchukua mkopo na kununua gari, binafsi kwangu nimekuja kugundua kua hili ni moja ya makosa makubwa sana ya kifedha(financial mistakes) niliwahi...
Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
Habarini wadau. Kwa mwenye ujuzi na madini haswa laboratory results. Matokea mazuri kwa upande wa copper huwani kuanzia % ngapi . Namaanisha results ambayo inaonyesha copper ina kiwango na inafaa...
Yaani mtu unaweka milion 10 Ili ikuletee elfu 99 Kwa mwezi hivi watu wa aina hii Kuna rafiki yangu anamiaka 30 anafanya huu ujinga hivi Hawa watu waga wamerogwa maana hii pesa ukiifanyia biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.