Vinyago vya sokwe ndio vinauzwa bei hivyo?

Vinyago vya sokwe ndio vinauzwa bei hivyo?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,773
Reaction score
3,878
Leo nilikuwa kwenye bar moja mitaa ya Savei akapita mtu anauza vinyago vya sokwe unavaa unakuwa kama sokwe kwa ajili ya content.

Anaviuza laki moja.. Anasema wateja wake wengi ni content creators. Anasema kundi kubwa la wateja wake ni watu ambao wanataka kuendana na trendy ya content creators ambao wanavaa vinyago vya sokwe au wanatumia IA kutengeneza vinyago vya sokwe na kundi la pili ni la wale wanao taka kufanya content lakini hawataki kuwa maarufu.
 
Vinyago vya mapambo au kuvaa? Survey si ni karibu na mwenge? Pale mpakani kuna vinyago vingi lkn wanunuaji wakubwa ni raia wa kigeni na bei zinafanywa kulingana na hali yao ya kiuchumi.
 
Back
Top Bottom