Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HATUA YA KWANZA MAOMBI YA MWANZO Je mteja anaweza kuchukua fomu ofisi yeyote ya tanesco? Mteja anaweza kuchukua fomu ya maombi ya umeme katika ofisi yeyote ya shirika bila kujali kuwa eneo hilo...
48 Reactions
384 Replies
143K Views
Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed. Ni ngumu kujitoa...
11 Reactions
25 Replies
386 Views
KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo...
3 Reactions
29 Replies
243 Views
★ Asema mifumo ya utoaji huduma imedhibiti watu kati★ Akabidhi hati zaidi ya 800 za miliki za ardhi Mafinga Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
DODOMA Serikali imesema imeanza kuweka msisitizo zaidi katika sekta ya nyumba na maendeleo ya makazi ili kuimarisha upatikanaji makazi bora, salama na yenye kuzingatia mipango miji, sheria na...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
A Nigerian traveler’s viral social media remarks on his visit to the United Republic of Tanzania have sparked widespread discussion. Many attribute the exceptional peace and hospitality he...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Tangu ndugu Samia aende eda, msigwa amekuwa mzembe sana. Ona sasa mama amepata msiba wa rafiki yake wa karibu, yeye kashindwa kujiongeza kutuma salamu za pole kwaniaba ya Samia Suluhu.
1 Reactions
0 Replies
39 Views
Jiji la Nairobi na viunga vyake linachangia asilimia 41 ya GDP yote ya Kenya Kampala na viunga vyake, 60% ya GDP yote ya Uganda Kigali 40% ya GDP ya Rwanda Dar Es Salaam 19% ya GDP ya Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
75 Views
Mwanamke unapokuwa na mume wako sahau kama kazini unaitwa boss sijui unacheo wajibika kama mke. Wanawake waajiriwa wana viburi sana akiwa na cheo atataka mamlaka ya ofisini ayapeleke mpaka nyumbani.
8 Reactions
42 Replies
472 Views
Wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Nyakagwe, Kata ya Butobela, Wilaya ya Geita, wameiomba Serikali kuingilia kati suala la kuondolewa katika eneo la uchimbaji, wakidai kuwa walilitambua na kuanza...
2 Reactions
29 Replies
300 Views
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia...
6 Reactions
17 Replies
170 Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
KIGOMA: Tukio la wizi limetokea usiku wa kuamkia leo katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Kigoma, ambapo mikeka 100 imeibwa ikiwa na thamani inayokadiriwa kufikia...
4 Reactions
23 Replies
353 Views
HAKIKA LEO HII WATU WANAPUUZA TAARIFA ZA EL NIÑO KAMA VILE NYAKATI ZA NUHU: Je, Tunasubiri Gharika Itukumbuke Ndipo Tuamini? Ndugu zangu wa JamiiForums, leo nimekaa na kutafakari sana mwenendo...
3 Reactions
10 Replies
179 Views
Kama wewe ni mpenzi wa fasihi ya Kiswahili na riwaya za kusisimua, bila shaka unamkumbuka mwandishi Aristablus Elvis (A.E.) Musiba. Kupitia kazi zake mahiri kama Kufa na Kupona, Njama, Kikosi cha...
3 Reactions
15 Replies
211 Views
Umuofia Kwenu wana JF, Swimming pool si sehemu salama kwa mtoto bila ulinzi. Ndugu wazazi tuache ushamba usio kuwa na kichwa wala miguu ,kuna mambo mengine yaache yawapite hata kama una hela...
12 Reactions
33 Replies
319 Views
Mwafrika akipata madaraka ni mlafi kila mwaka tunaona dramas za viongozi kukataa kukubali kushindwa uchaguzi Mwafrika anashindwa hata kujiwekea mipaka kwenye chakula matokeo yake kitambi
5 Reactions
18 Replies
179 Views
Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani...
1 Reactions
3 Replies
65 Views
Biggy wa zimbabwe Mme wa zamani wa zari wa uganda Ginimbi wa zimbabwe
2 Reactions
4 Replies
103 Views
Baada ya mbinu ya utekaji kubuma, kila analofanya linazidi kuchochea hasira dhidi yake kwa uovu alioufanya juu ya ardhi tukufu ya Tanganyika, sasa ameanza kukata moto. Kilichotokea pale stendi ya...
3 Reactions
7 Replies
232 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…