Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,885
Reaction score
16,191
Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli

Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote wamefeli kuinua maisha ya raia wao badala yake wanawakandamiza

Ni kweli kuwa Tanganyika ndio inakandamizwa zaidi maana hata utekaji na mauaji ya October 29 yametokea huku Tanganyika. Zanzibar iko free kwenye hivi vitu viwili, lakini haiko free kwenye uongozi mbovu

Serikali ya Tanzania ijitafakari sana
Tanzania yote inahitaji maendeleo ya kasi, iwe bara au visiwani.
 
View attachment 3681966
 
Attachments

  • 38d50e7f-f12c-4de4-a360-de8861c2ff92.jpeg
    38d50e7f-f12c-4de4-a360-de8861c2ff92.jpeg
    50.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom