Mohamed Hussein Zimbwe Junior anatembea na Mkataba wa Yanga!!
Zinazoonekana Mtandao siyo Romans bali ni Ukweli,
Wakala wa Mohamed Hussein alikutana Na Uongozi wa Yanga Palm Hotel akapewa...
Mtumr.Mungu akubariki sana
Maboya
Nimeona clip yake anasema ntue wanawake wanaume mnakufa mapema sana kwa mambo ya kijinga
Kkama unaona mwenzio anakusumbua nenda mbagala akikusumbua nenda...
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi...
Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo.
Hapo amempa Amri "mwenyekiti" atekeleze Amri husika ,hili ni kosa la "kiufundi".
Utovu wa nidhamu alioonesha ni Kama vile amepishana kauli na bosi...
Ushabiki usiokua na mantiki Wala faida yeyote ile kijana upo kwenye keyboard unaisifia ISRAEL au IRAN wewe ni fala tu
SIMBA na YANGA zimekua dini za vijana wapumbavu upo tayari kumtukana mwenzio...
AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe.
Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili...
🔥Ifanye porno kuwa bure
🔥Wafanye watoto wasahau mababu zao (ancestors)
🔥Mfanye mwanamke ashindane na mwanaume katika ndoa
🔥Mfanye mwanadamu azame katika itikadi alioletewa na kusahau utu na...
Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya...
Kampuni ya Helium One, inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya helium nchini Tanzania, imekamilisha zoezi la ulipaji fidia ya zaidi ya milioni 100 kwa wananchi wa Vijiji vya Itumbula...
Mstari huu kutoka 1 Wakorintho 7:27-28 (New Century Version - NCV) unasomeka hivi:
"Kama hujaoa, usijaribu kutafuta mke. Lakini ukichagua kuoa, hujatenda dhambi. Na kama msichana ambaye hajawahi...
Mods watu wangu wa nguvu badilisheni hapo kwenye heading njaa badala ya njia.
Jamaa mjanja mjanja tu. Cuba sasa hivi Kuna njaa Kali. Mgao wa Kila kitu kwaanzia chakula, maji na umeme.
Mwana...
Aliingia mfanyakazi wa kawaida katika duka dogo la dawa, uso wake umechoka na mikono yake imepasuka kwa sababu ya kazi nyingi.
Akamuuliza mfamasia kwa sauti ya utulivu:
“Je, mna marhamu ya...
Habari wakuu.
Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa?
Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho...
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu...
Waliotamba Enzi za JK?
Enzi za utawala wa Rais Jakaya Kikwete (2005-2015) zilikuwa zimejaa rangi na mvuto wa kijamii, hasa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo wajasiriamali, wafanyabiashara, na...