Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo;
1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii...
Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya...
👉 Jesus News Radio
Katika jamii nyingi, hasa zile za Kiafrika, wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama watu wa pili ndani ya familia au ndoa. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba wanawake ndio nguzo...
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa
Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo
Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500
Ila ajabu bei imeshuka
Jana mnada bei...
Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia.
Kwa kifupi iko hivi ,
Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya...
Nipo njia panda kabisa aisee wakuu hivi kati ya Yesu na yehova nani ni Mungu? Maana kuna watu wengine wanamtaja kama yehova ni mungu wao na pia kuna wengine wanamtaja yesu kama ni mungu wao...
PESA NI SILAHA; VITA YA MAISHA. MBINU ZA KIMEDANI. CHUKUA MOJAWAPO!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna mahitaji yanayoleta kuhitajiana.
Kuhitajiana kunakoleta mahusiano.
Mahusiano mchezo wa...
Kuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na...
Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya...
Nashuhudia maajabu ya Dunia katika Mahakama za Tanzania.
Askari wasio wa ki mahakama walio jaa silaha za visu, mabomu na bunduki wame tanda siyo nje tu ya mahakama bali ndani ya chumba cha...
Hakuna pahala tunakwenda!
Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december.
Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move...
Hebu soma hizi kelele MASHARTI NA VIGEZO KIBAO NA VIKUBWA VISIVYO NA UHALISIA na UONE JINSI LINAVYOFOKA (kuwa utajitegemea kwa kila tu)...Kumbe ni VOLUNTEER tu...
Internship and Volunteer...
Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.
Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.
Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa...
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.
Wafanyakazi wenu...
Huyu jamaa anakuwaga kama na kautabiri flan, mimi nayoikumbuka ni ile alowahi kusema bungeni kuwaambia wabunhe wa chama tawala kuwa "SIMNAFURAHIA WAPINZANI TUNAVYOFANYIWA NA SERIKALI, WAKIMALIZA...
Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi...
Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security
Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom
Unashauri...