Kipaji ni Nini, na Kwa Nini Hatusemi Tapeli au Jambazi Ana Kipaji?
Katika jamii zetu, mara nyingi tunasikia watu wakisifiwa kuwa na vipaji vya kipekee—kama kucheza mpira, kuimba, kuruka sarakasi...
Kwa kweli
Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile
Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada
Yaan...
Habari wakuu...!
Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo.
Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha...
Habarini wana JF Mungu awape afya njema
Nahitaji kwenda nchi za wenzetu zilizoendelea kwenda kujipambania kimaisha. Ila sina ABC zahuko wala sijui ni-kwanamna gani naweza fika huko
Msaada ninao...
Wakuu kwema
Katika harakati za maisha kuna kupanda na kushuka ili ufikie malengo yako.Kuna baadhi ya watu walipitia JKT labdah kwa kujitolea au kwa mujibu WA Sheria(hasa wale wanaomaliza kidato...
Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi
Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai...
Nimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27.
Imenifanya nikawaza...
Kila siku ukiamka na kufungua WhatsApp status, Instagram story au Facebook timeline, lazima utakutana na mojawapo ya hizi au mfano wa hizi:
“I choose peace over everything.”
“Not everyone...
Wasalaam Wakuu!
Pamoja na kuwa active sana humu kwenye mtandao wangu pendwa, nikichangia mada mbalimbali, lakini tangu jana Nilikuwa nasoma kitabu kinachoitwa The Road to Financial Freedom...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumteka na kumuua mchimbaji wa madini ya dhahabu, Nestory Marcel Inda (61), mkazi wa mtaa wa Stamico-Katoro, Wilaya na Mkoa...
emrejesho hapo nyuma ilikuwa ndio sehemu unaweza toa malalamiko ya SEREKALI na ukawa salama na swala likashughulikiwa haraka. Ila sasa asee nikama hawafanyi hii kazi Tena. Unaweza repoti tatizo...
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.
Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.
Polepole...
Isa 11:1-2 SUV
[1] Basi litatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda. [2] Na roho ya BWANA atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya...
Mimi sometime haya mambo naona hekaya za abunuasi kabisa aisee nashindwa kuamini na sijui nani atakuja kuniaminisha halafu nikaamini hivi inawezekana vp bwana Yesu ambaye kwa wakristo wanasema ni...
Sasa hivi ni kawaida kukuta habari mtandaoni za makamanda wa polisi wakiongea na vyombo vya habari kuwa wamekamata mtu aliyefanya kosa la jinai kama vile mauaji, ubakaji, ulawiti n.k
Habari kama...
WATU wa nje ya Afrika hufikiri watu wa bara hili ni mkusanyiko wa jamii moja inayoelewana kwa lugha na kiutamaduni, kumbe sivyo. Kuna makabila zaidi ya 3,000 yenye kujitegemea katika kila fani...
Kuna jamaa bodaboda Tu ila kwao loilondo amekuja dar 2009 hajawah kwenda kwao hata mawasiliano na watu wake Hana.Hio imekuaje ni fair kweli kutuachia wakati mgumu wa kutafuta ndugu zako ukipatwa...
Kwa wale " tuliobahatisha" kupata kazi kwenye makampuni binafsi, pamoja na mshahara tunaopata, haijalishi ni mkubwa au mdogo, kama hatufanyi kile tulichokikeshea miaka nenda rudi, yafaa tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.